Kazi inayoifanya bbc ilikua inapashwa kufanywa na tbc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi inayoifanya bbc ilikua inapashwa kufanywa na tbc

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Japhari Shabani (RIP), Oct 28, 2010.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Natoa shukrani kwa BBC kwa mchango wao katika vipindi vyao kuelekea uchaguzi kuanzia tarehe 27.10.2010.Mpaka tarehe 2.11.2010.Kwa uchambuzi wa kina na uhakika katika vipindi vyao bila ubaguzi.CCM inakimbia midahalo nini hasa sababu ya kufanya hivyo?Jibu ni kwamba Viongozi wa CCM asilimia 100 hawaifahamu sera au ilani ya CCM.Kazi inayoifanya BBC ilikua inapashwa kufanywa na TBC.MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
Loading...