Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,081
2,000
''Wagumu'' ndio wanaongoza, coz muda wote hawataki so manzi akidondokea mikononi ni point tu.
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,704
2,000
Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa huwa wanachomekea gia ya kuomba mchezo kwa kisingizio cha masharti, kuingiza dawa na hata kutumia vitisho pale mwanamke akileta ugumu.

Wasanii + wanamichezo - wasanii hususan wa bongo fleva na wale wanaofahamika bongo muvi mara nyingi hata hawatumii nguvu kubwa kwasababu tayari majina yao yanajisemea, tukija kwa wacheza mpira timu za bongo nao hawapo nyuma, sema tu utofauti wao na wasanii ni kwamba wao wanapenda kutembea na mabinti wasio na umaarufu, kwa wasanii wanapenda kutembea na mabinti wenye umaarufu flani ivi.

Studio za picha - yanayoendelea huko studio za picha ni mengi mno kuanzia kwenye kubadili mavazi, kuvaa nguo zenye mitego, picha za uchi na hata mitindo ya upigaji wa picha , kazi hii yahitaji moyo, mabinti wengi huwa ni wale ma model wa Instagram, Facebook, n.k

Walimu wa vyuoni - Hawa ni kama miungu watu huko vyuoni, kuna kundi la kwanza ambalo huwa wanafelisha au kuwekwa ugumu binti wanaemtamani, na hapa Ili binti basi huyo mwalimu anamwambia wafanye ngono....kundi la pili ni wanafunzi ambao wanajua wamefeli kihalali ila ni wenyewe wanaofanya jitihada za kumtega mwalimu Ili awape maksi za kusonga mbele, kwao kutoa mzigo sio ishu kabisa.

Boda boda + wakaanga chipsi - Hawa mara nyingi wanamendea vibinti vidogo na muda mwengi hata WA sekondari, vibinti vidogo hivi akili bado hazijakomaa ila kimaumbile ni wakubwa, wengi wakipewa chipsi au lift, ni huruma pekee ya boda bpda au muuza chips itayonuokoa, vinginevyo hapo hachomoki.

=======

Zaidi soma: Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Daah! Kumbe maisha bado mazuri sana, mpaka sie ma DJs tumesahaurika na mtoa mada.
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,704
2,000
Maphotographer umetuachaje
Kawasahau hadi ma directors wa movies na wale wanao shoot videos

Ma producers hawa wanakula sana zile pisikali underground kwenye muziki, Au nimtajie producer aliemla Zuchu before hata hajaenda wasafi.
 

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,141
2,000
Hawa viumbe wana ujinga flani hivi wa asili

Unaweza kuona mtu yeyote ambaye ana access ya kukaa nao karibu mara kwa mara ndo anawabutua hatari.Na cha ajabu mpaka rangi kucha unaweza ukadhani anakula type flani ya mademu lakini sio kweli unakuta anakula wote malaya,walimu,mastaa,wake za watu,viongozi yaani kiufupi anakula wanawake wote the same to boda boda.Mtu akiniambia anakosa mwanamke namshangaa kabisa,kiumbe mjinga hivi anakushindaje akili???

No wonder wazee wetu waliwaweka gizani kwa nguvu walijua ukiwatoa gizani kidogo tu jamii nzima itaangamia.

Tunaona huko istagram ujinga wao unavyoongezeka kila leo yaani full upuuzi.Mitandaoni wanaume wanaharibikiwa lakini wanawake wanaangamia kabisa km sio kuchanganyikiwa.

Haya nyie wanawake wachache wenye akili mnisamehe sitaki povu nyie hamuhusiki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom