Anahitajika kijana yeyote kwaajili ya kuendesha social media accounts

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,440
2,692
Habari wakuu?

Anahitajika kijana jinsia yeyote kwaajili ya kuendesha social media accounts na atafanya kama part time job.

Sifa zinazohitajika:
1. Uwe na ujuzi wa masuala ya graphic design.

2. Uwe na uelewa na uzoefu na hizi social media (Facebook, Instagram, twitter, whatsap business pia).

3. Uwe mkazi wa dar es salaam.

Tunahitaji ujuzi wako na siyo vyeti hivyo elimu ni level yoyote na utafanya kama part time.

PM yangu ipo wazi, karibu tuwasiliane tukikubaliana tubadilishane mawasiliano.
 
Wakuu tayari timu imekalmilika na nishapata idadi kamili ya watu ninaohitaji. Asanteni kwa ushirikiano.
 
dah mi ni mtaalamu wa vitu vyote hivyo ila leo ndio ningi online dah nimeshakosa
 
dah mi ni mtaalamu wa vitu vyote hivyo ila leo ndio ningi online dah nimeshakosa
Ndo ukome kutoingia online mara kwa mara...

Na utakosa sana vitu vizuri ukiendeleza tabia yako ya kudoj' online hasa kwenye sites kama hizi.

Regardless una changamoto za bando,simu mbovu etc lakini kwa job seeker ni lazima hata uazime simu ya mtu utembelee sites.

Mi napenda upate kazi ndo mana nakuchana.

Wengine hawatokwambia..watasubiri litolewe tangazo lingine na usiwepo online wao waombe..
 
nipo tu nasaka saka
 
Back
Top Bottom