Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
wadau naomba kuuliza kazi gani nzuri na yenye mafanikio katika maisha ya sasa.Coz kuna wazee wetu walifanya kazi ktk mashirika makubwa bt hali zao sasa sio nzuri.
wadau naomba kuuliza kazi gani nzuri na yenye mafanikio katika maisha ya sasa.coz kuna wazee wetu walifanya kazi ktk mashirika makubwa bt hali zao sasa sio nzuri.
Well said.................Kazi yoyote halali ni nzuri, busara ya matumizi yako binafsi ndo inapasa kukuongoza ili utambue kiasi gani usave!