Kazi gani mtu mwenye elimu ya darasa la saba na form four anaweza kufanya?

Kama ana talent anaweza kufanya kazi inayoendana na hiyo talent aliyokuwanayo.
Lakini anaweza Askari, Chef, Mhudumu, Cleanliness Personnel, Store and Shop keeper, Dropper/Carry katika viwanda and many more.
 
@Mods please help ningependa isomeke darasa la saba na form four.
 
Hana fani/ujuzi zaidi ya nguvu alizozaliwa nazo tu,cha kufanya mpe hii 'full package' namaanisha ujuzi (udreva-ufundi makenika-mfumo wa umeme wa magari-kupaka rangi magari) yaani hizo fani zote asome na aelewe kwelikweli na apate vyeti;baada ya hapo anauwezo wa kujiajiri na kupiga ela za uhakika.
 
Nimeipenda hii post, ila hio package uliyoisema inahusu zaidi boys, now please leta full package kwa girls lol
 
Back
Top Bottom