Lol..nikiisema na hiyo hutoniambia nifikirie na nyingine mkuu??Asante mkuu..fikiria na nyingine..,lol
UPOLISI NA UNAPOKEA MSHAHARA WA MWALIMU WA DEGREEHello JF,
Kichwa kinajieleza….
Tirilikeni,
Ningependa kujua maeneo gani mtu wa darasa la saba anaweza kuajiriwa ama kujiajiri?
Asanteni.
Becky.
Nimeliona hilo miss becky hahaha...anyway sio kesi ngoja niendelee kufikiri..hahaha wewe mjanja kweli,na kweli ningekuambia na nyingine, na nyingine tena..ingekua mchezo sasa...lol
Computer maintenance, networking, plumbing, IT techniques zote, drawing pictures, (arts, ) decoration, singing (as Artist) Many works can be done by Std vii leaves.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida tunakosa muungano na upendo siku tukilijua hili basi tutaanzisha startups nyingi na kuweza kujikomboa.
Hana fani/ujuzi zaidi ya nguvu alizozaliwa nazo tu,cha kufanya mpe hii 'full package' namaanisha ujuzi (udreva-ufundi makenika-mfumo wa umeme wa magari-kupaka rangi magari) yaani hizo fani zote asome na aelewe kwelikweli na apate vyeti;baada ya hapo anauwezo wa kujiajiri na kupiga ela za uhakika.
Kama nani?