Kazi gani mtu mwenye elimu ya darasa la saba na form four anaweza kufanya?

Hello JF,

Kichwa kinajieleza….

Tirilikeni,

Ningependa kujua maeneo gani mtu wa darasa la saba anaweza kuajiriwa ama kujiajiri?

Asanteni.

Becky.

Hata Urais anaweza kufanya. Inategemea lakini kama hiyo elimu ni elimu kweli au elimu cheti.
 
Zipo za kufundishwa kwa muda mchache kama kupaka rangi,kushona,kuuza duka,stationary, kunyoa,kutengeneza sabuni,batiki,kupamba,kupika chips,udereva wa magari madogo,

Za kufanya moja kwa moja kama kuuza duka,kubeba na kupakia mizigo viwandani vya kuku,vinywaji,nafaka
 
Asante mkuu..
 
Kwa taarifa yenu mtu ambae hajasoma anapata kazi kirahisi kuliko aliyesoma, maana mtu aliyesoma huangalia mambo kwa mtazamo tofauti, na asiyesoma huangalia mambo kwa jicho la kutamani na kujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom