Wakuu habari zenu,Leo nilikutana na rafiki yangu mmoja tumesoma nae secondary sasa katika mazungumzo yake akaniambia eti kuna mdogo wake amemaliza civil engineering degree,mwaka wa pili huu anatafuta kazi hivi ni kweli mtu aliyemaliza civil engineering anakosa kazi kwa muda wore huu