Kazi au mume......ushauri

Mtalingolo; Lakini kazi ya UN ni mkataba wa miaka miwili, so mume akiacha kibarua chake aondoke na mkewe then mkataba ukija kuisha itakuwaje?? Wanarudi kwenye msoto wa kutafuta kazi tena hapa bongo...?

Hapo ndo palipo na shida, tatizo lingine mwanamke akiongezewa tana miaka inamaana jamaa aendelee tu kukaa nyumbani mkewe anafanya kazi?
Kama anataka yeye aende tu akafanya kazi huko akimaliza hiyo miaka 2 arudi lakini siyo lazima waende wote. Yawezekana pia mume anachannel zake hivyo kumkurupusha aziiache kwa miaka miwili anaona ni ngumu, hivyo mke naye anahitaji kuheshimu maamuzi yake.

BINTI77; kazi ni bora zaidi,simshauri kuacha kazi,wengi imewaghalimu.

Ina maana kazi ni bora zaidi ya ndoa yao? Kwa hiyo kwa huyo mwanaume kazi yake siyo bora zaidi ya mwanamke ndo bora au kwa vile anafanya serikalini? Huwezi juwa ni kiasi gani kazi ya mwanaume ilivyo muhimu zaidi kwake pia. Na pia inategemea na maelewano yaliyokuwepo mwanzo kati ya mume na mke hivyo siye tuliyoko inje tusitowe maamzi ya kumlaumu mwanaume kutofuatana na mkewe. Kama hapo awali mawasiliano/maelewano yalikuwa na tatizo tusitegemee mwanaume kwenda kukaa ndani anahudumiwa, hilo alitatokea maana ataona kuwa uanaume wake umevuliwa na sasa anahudumiwa na mke na kusomeshwa juu (Hana sauti tena).

Dena Amsi; Nailyne nakwambia ukweli kazi ndo mpango mzima mume mpango wa kando ha ha ha ha ha

Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.

Oak : Dena Amsi; Nailyne nakwambia ukweli kazi ndo mpango mzima mume mpango wa kando ha ha ha ha ha

Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.

Oak
hapo kwenye blue umesema ukweli, naona watu wanasema kazi zao ni bora kuliko ndoa zao. Hiyo kazi utaifanya vema kama una mtafaruku kwenye ndoa yako?

Hivi niache ajira yangu parmanent serikalini kwa mkataba wa miaka 2 ambao bado hata maingira siyajui? Kweli? Nikawe kula kulala na kuja kutafuta tena ajira bongo after 2 years? Kweli?

Huyo mume ana busara sana tena sana!!!

Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.

Umenena vyema kabisa ndugu

Na wanaume wenyewe wa TZ walivyo haba na haswa marrying men,mmmmmh kuna watu wakisikia mama ameondoka ,itabidi jamaa aende kwa Kakobe,Paroko au kwa Sheikh akaombewe la sivyo usalama wake uko mashakani by 100%.
Nina m
tu wangu eti kadada ka Chuo kakamwambia naomba tuwe sote for this period wala siji kulala kwako, lakini jamaa ali sepa kuhamia kwa ka dada kila mtu alishangaa, sasa kanauliza kwani mimi na yeye tuna tofauti gani, na sijui jamaa aliahidi nini ameshindwa kuchomoka.
Mwambie dada aende bila pressure ya mume, wanaume watapatik
ana jao kwa shida lakini akiiachia shule kupatikana kwake ni kazi!
:gossip:[
QUOTE=SaraM;2495877]Mwaambie aende akakae mwenyewe kiasi, akirudi kama wamekutana jana yake mahaba motomoto[/QUOTE]

Dena Amsi; Nailyne nakwambia ukweli kazi ndo mpango mzima mume mpango wa kando ha ha ha ha ha

Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.

Narudia nakusisitiza kuwa kazi ndo mpango mzima.....

mkuu ukisema ndoa ni ya watu 2 ambao ni independent i beg to differ coz, ikiwa kila mtu anafanya lake katika ndoa then meaning ya ndoa haipo tena binafsi naamini ukikubali maisha ya ndoa unaweka kando umimi,na usisi unachukua nafasi n so to speak kila jambo unaloamua kufanya ni lazima uangalia litamuaffect vipi mwenzio sio tu kuamua bz wewe umeamua

Theoretically uko sahihi, ila practically (especially baada ya kumalizana na hang over ya uchumba) hauko sahihi... Muulize DA labda atakueleza ninachomaanisha!!

Back
Top Bottom