Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.
<br /><b>Dena Amsi</b>; Nailyne nakwambia ukweli <font color="#ff0000">kazi ndo mpango mzima mume mpango wa kando ha ha ha ha ha<br />
<br />
<br />
</font><font color="#000000">Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na matatizo ya ndoa atakwambia ndoa ni mbaya wakati yule aliye na furaha na upendo katika ndoa yake atakwambia kwa nini alichelewa kuingia ndani ya ndoa......Mwenye kuchukuwa ushauri pima ushauri wako unatoka kwa mtu wa namna gani maana japo hatujuani lakini unaweza kujuwa watu waliyo na mshikemshike kwenye mahusano yao kwa kusoma ndani ya mistari.</font>
Hambebeki viumbe hasidi nyie tena wewe ni mmojawapo
mkuu ukisema ndoa ni ya watu 2 ambao ni independent i beg to differ coz, ikiwa kila mtu anafanya lake katika ndoa then meaning ya ndoa haipo tena binafsi naamini ukikubali maisha ya ndoa unaweka kando umimi,na usisi unachukua nafasi n so to speak kila jambo unaloamua kufanya ni lazima uangalia litamuaffect vipi mwenzio sio tu kuamua bz wewe umeamua