Kazi ambayo JK anaipenda ni.............blahblah.........................

03_11_c6qp5w.jpg
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa tano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uzinduaji (EITI) mjini Paris, Ufaransa, uliozungumzia matarajio ya baadaye ya tasnia hiyo na uwazi katika masuala ya fedha. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani Indrawati, Mwenyekiti mtarajiwa wa EITI, Clare Short, na Rais wa Msumbiji, Armando Guebuza. (Picha na John Lukuwi).

Hapa namwona sheikh ARMANDO GUEBUZA kuna kitu anakitafakari, sijui ni kile anachoongea MKURU WA NCHI au ni kwamba lugha hajaielewa vizuri- yaani SWANGLISH!
 
<table border="0" width="100%"><tbody><tr><td align="center" valign="top">
03_11_hcrcus.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="center" valign="top">PRESIDENT Jakaya Kikwete exchanges views with the President of The Movement of French Enterprises Philippe Gautier after attending the Fifth Conference of Extractive Industries Transparence Innitiative (EITI) in Paris on Friday. (Photo by John Lukuwi)</td> </tr> <tr> <td class="mainStoryUnderline" align="center" valign="top">Go to Gallery</td></tr></tbody></table>

Na nyingine anayopenda ni hii hapa!
Bartlett+with+Jakaya+Mrisho+Kikwete+and+wife+at+Mystic+Mountain.jpg
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz


unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi

ni mambo yapi hayo ndugu? hebu nasi tujuze, manake sisi wengine tunamwona yupo yupo tu, mara aongee pumba hii, mara pumba ile,mara apotee nchini mwezi au wiki mbili ili mradi tu kunakucha na yeye anaingia kweye orodha ya watu waliowahi kuwa marais wa tz,
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz


unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi

Fafanua!
 
Safari nyingine inapunguza heshima akienda yeye as Presidaaa, while it should have been a representative at lower level would do

Kwani armando guebuza (HE wa msumbiji) ni representative at lower level? Mkutano mkubwa huo mkuu....
 
PLAN A YA KIKWETE :blah::blah::blah:
PLAN B YA KIKWETE :blah::blah::blah:
PLAN C YA KIKWETE :blah::blah::blah:
PLAN Z YA KIKWETE :blah::blah::blah:
 
Back
Top Bottom