Kazi aliyoifanya Kinana na Nape kuitoa CCM kuzimu ndiyo inayofanyika sasa Je, bado kuna Mawaziri na wakuu wa mikoa mizigo?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
wana JF

Kaitika zunguka zunguka ya ziara mbalimbali tumejonea madudu mengi ya uliwaji wa pesa pia tumejionea jinsi watu wanavyoteswa na viongozi wao ambao wamepewa majukumu ya kulinda raia na kuwaoongoza lakini wao ndio wameaharibu kwa uzembe au kule kulindana. Nape na Kinana walizunguka nchi nzima kuinusuru ccm kutoka kuwa chama cha mabwanyenye na kuwa chama cha wananchi tumeshuhudia kinana akipiga magoti kuiombea ccm samahani sana, huku akiwasema live wakwamishaji na kuwaita mawaziri mizigo. Yanayoendelea ni tofauti lakini ni kwa staile ile ile kwani Kinana na Nape hawakuwa na uwezo wa kuwafanya chochote, sasa stail hii inayotumika kuna mfanyanya chochote, ukipiu anakupigia pale pale. Shida zipo nyingi mikoan , kuna dhuruma nyingi ambazo watendaji wazikalia mpaka hawa wakubwa wafike wengine watakuwa wamepoteza matumaini.

Tunaomba sana ziara hizi ziwe tanzania nzima na wananchi wawe huru kueleza makosa ya watendaji bila kuogopa ndipo nchi hii itanyooka.

maendeleo hayama vyama wanaooendelea kuzunguka na kutatua kero nasi tunawasubiri tuwawaambie ya nyuma ya pazia.
 
Mizigo bado ipo ila wa kukemea ndio hayupo ukiangalia upigaji unaofanyika kwasasa utaona tu kwamba mizigo ipo
 
kwenye ziara hizi hata mizigo ipo kwani wengi wanaambiwa wataje hili wapewe majibu papo kwa papo. mizigo hawezi kuisha kila siku ni kuwapiga chini tu ili kuwepo orodha ndefu ya walioonja vyeo hivi kama cv
 
Back
Top Bottom