dah haya mambo mimi hata sijayajua mkuuNa kama nimefanya interview ya written nikaangalia kwenye account yangu nikakuta SELECTED, nikaenda fanya interview ya oral.
Je nayo nikiingia kwenye account yangu nitakuta nini baada ya matokeo?

Nooumewapigia simu mkuu??
Tofauti na h comment, ww hua unawaza nn kichwan kwako.?
Mbona wa diploma wanaitwaga pia mkuuu.... Kwani umesomea fani gani??Daaah mana naona mm na diploma yangu uchwara cjawah kuona ht kaz moja
Sms huwa wanatuma sometimesMajibu sahihi ni hivi, ukituma application kwenye ajira aportal, Unatakiwa uwe unatembelea mara kwa mara akaunti yako ya ajira portal, utakuta majibu wamekuwekea kwenye application status. ukikuta umeandikwa shortlisted ujue umepata interview, watakuwa wamekuandikia tarehe ya interview na sehemu gani interview inafanyika. na ukikuta application status rejected maana yake hujapata interview, ukikuta application status pending maana yake application yako bado ipo kwenye mchakato.
Shida ya ajira portal ni kwamba hawakupigii simu kukujulisha kwamba umepata interview na wala hawakutumii email ya interview.
yaani majibu utapata kwenye account ya ajira portal. Na hii ni hasara kwa mwombaji kwasababu sio kila mtu anakuwa anatumia internet kila siku. kuna majukumu ya kila siku ambayo mtu anakuwa yuko bize. Ningeshauri ajira portal iwe inatuma hata msg za sms za kuwajulisha interview kwa waombaji wote kama inaona gharama kupiga simu kwa kila mwombaji. mbona taasisi zingine zinapiga simu moja kwa moja kwa mwombaji kumjulisha kwamba ana interview.
Videographer na visual editingMbona wa diploma wanaitwaga pia mkuuu.... Kwani umesomea fani gani??
Na ile wanaandika application failed inakuwaje?Majibu sahihi ni hivi, ukituma application kwenye ajira aportal, Unatakiwa uwe unatembelea mara kwa mara akaunti yako ya ajira portal, utakuta majibu wamekuwekea kwenye application status. ukikuta umeandikwa shortlisted ujue umepata interview, watakuwa wamekuandikia tarehe ya interview na sehemu gani interview inafanyika. na ukikuta application status rejected maana yake hujapata interview, ukikuta application status pending maana yake application yako bado ipo kwenye mchakato.
Shida ya ajira portal ni kwamba hawakupigii simu kukujulisha kwamba umepata interview na wala hawakutumii email ya interview.
yaani majibu utapata kwenye account ya ajira portal. Na hii ni hasara kwa mwombaji kwasababu sio kila mtu anakuwa anatumia internet kila siku. kuna majukumu ya kila siku ambayo mtu anakuwa yuko bize. Ningeshauri ajira portal iwe inatuma hata msg za sms za kuwajulisha interview kwa waombaji wote kama inaona gharama kupiga simu kwa kila mwombaji. mbona taasisi zingine zinapiga simu moja kwa moja kwa mwombaji kumjulisha kwamba ana interview.
ina maana hujaomba, system imekukataaNa ile wanaandika application failed inakuwaje?
mi nimeona status imebadilika imeonyesha, you are not shortlisted ila majina ya watu kuitwa kwenye interview bado hayajatoka. inawezekana watu waliitwa kimya kimya kwenye interview?Njia rahisi ninayoitumia kujua kama nimeitwa interview au la baada ya kutuma maombi utumishi, huwa nafanya hivi. Kila baada ya week mbili natembelea website yao ya kiserikali www.ajira.go.tz kwenye site hii huwa wanachapisha majina ya wote wanaoitwa katika mfumo wa PDF.
Jambo muhimu ukumbuke taasisi uliyoomba, maana huwa wanaandika vichwa vya habari mfano "majina ya walioitwa kwenye usahili TBC" n.k
So hii site ndo naitumia sana www.ajira.go.tz
Wakati status inasoma 100%ina maana hujaomba, system imekukataa
Hii inakuwaje na vigezo vyote umevitimiza?Wakati status inasoma 100%
ulichosomea sio wanachokitaka kwenye hio nafasiHii inakuwaje na vigezo vyote umevitimiza? View attachment 1613008View attachment 1613011
Siwez kuomba kitu sijasomea mkuu utakuwa ni uchizi inabidi nkapimwe akili...ulichosomea sio wanachokitaka kwenye hio nafasi
😂😂😂Siwez kuomba kitu sijasomea mkuu utakuwa ni uchizi inabidi nkapimwe akili...
Kazi iliotangazwa ilikuwa inataka wa fani gani na wewe una fani gani?Siwez kuomba kitu sijasomea mkuu utakuwa ni uchizi inabidi nkapimwe akili...