Zamani tulikuwa tunabadilisha tu unaingia academic qualifications unafuta degree unaacha diploma sijui kwa Sasa kama inawezekana ila jaribu lakini kufungua account nyingine NIDA ndiyo kikwazo.​
 
Haya maisha yashakua tabu, ngoja nijaribu nione itakuaje
Ahsnte
 
Ahsante , je haitaleta shida kuwa na account nyingi au hik account ya zamani nawezaje kuifunga
Usisumbuke kufungua account mpya maana haitofanya chochote. Serikali ya wanyonge ndo imetengeneza mfumo huo ili kukwepa jukumu lake, Chamsingi ni kuomba nafasi za degree tu hakuna option nyingine
 
Mkipata suluru mje na mrejesho kama inawezekana kubadilisha au kufuta certificate uliyokwisha weka
 
Zamani tulikuwa tunabadilisha tu unaingia academic qualifications unafuta degree unaacha diploma sijui kwa Sasa kama inawezekana ila jaribu lakini kufungua account nyingine NIDA ndiyo kikwazo.​
Unajua ni kosa kutoa taarifa ya uongo wakati unaomba kazi. Standing order D.12 inaeleza vizuri kuhusiana na utoaji wa taarifa za uongo
 
Usisumbuke kufungua account mpya maana haitofanya chochote. Serikali ya wanyonge ndo imetengeneza mfumo huo ili kukwepa jukumu lake, Chamsingi ni kuomba nafasi za degree tu hakuna option nyingine
Duu haina budi nikubali kushindwa
Ahsante kwa kunisaidia
 
Na kama nimefanya interview ya written nikaangalia kwenye account yangu nikakuta SELECTED, nikaenda fanya interview ya oral.
Je nayo nikiingia kwenye account yangu nitakuta nini baada ya matokeo?
 
Back
Top Bottom