Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
nipige mbizi nimekua samaki mimi?angel!! Papa msoffeee!! Weekend hii utakuwa wapi? Au ndiyo mambo ya kupiga mbizi toka kigamboni?
nipige mbizi nimekua samaki mimi?angel!! Papa msoffeee!! Weekend hii utakuwa wapi? Au ndiyo mambo ya kupiga mbizi toka kigamboni?
Umejitahidi, inamaana wewe huoni jamaa kazama? angalia vizurihebu ondoa utumbo hapa! Bora wafungue shule ukaanze fr.1 huenda zikachaji kidogo
Kamuulize Dr wa ukweli Ma padlock a.k.a mzee wa TBL!!!nipige mbizi nimekua samaki mimi?
Pole na wewe ndiye wale waheshimiwa Ma Dr? Ila inaniuma sana na kunisikitisha na hii gov iliyojaa wanasiasa, mbunge ni muhimu kuliko Dr! Ajabu ya dunia. nadhani inabidi kuprivatise sector ya U Dr ili wawe indepent from Gov.Daah, wana JF mnanipa raha sana. Hizi thread za PERA na Nq'wankiduku mm nacheka sana. Na hvo sijapata mshahara full kurefresh!
Weye vumbi hujasomeka! Unamaanisha nini? Au umeandika ukiwa unapiga mbizi?hamjagundua????? Yule ni Magufuli kwa mfano wa maruhani akitoa demo ya kauli yake.............!!!
Karibu tena, safari njema ewe mwama kigamboni, ila angalia usije ukazama wakati wa kurudi!mie napita tu