Kaya 903 zinaishi kwenye viwanja vya Wazo Hill!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaya 903 zinaishi kwenye viwanja vya Wazo Hill!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, May 18, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna tangazo kwenye magazeti ya leo linalohusu kaya takribani 1000 za wananchi wanaoishi kwenye viwanja vya Wazo Hill, kwa maneno mengine wamevamia eneo hili.

  Maswali yangu machache kwa serikali yetu tukufu:

  • Je wananchi hawa watalipwa fidia ili wahame, kama jibu ni ndiyo pesa itatoka wapi???
  • Je serikali na mwenye viwanja walikuwa wapi muda wote huu hadi nyumba 903 zikakamilika kujengwa kwenye eneo lao???
  Kama kweli watu hawa wote watalipwa fidia ili wahame, naomba kuitisha maandamano ya kupinga matumizi mabaya ya kodi zetu na kuwaomba watawala wawajibike kwa kujiuzuru (yaani serikali yote ya CCM iachie ngazi).
  Kama taifa hatuwezi kuendelea kwa kuwa serikali legelege kama hii halafu mawaziri wake wanalopoka kulalamikia serikali za nchi zingine zilizofanya jitihada ya kuwawajibisha watu waliotuibia huku serikali yetu ikishindwa kuwawajibisha wananchi wake waliohusika.... Nyoro!
   
 2. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  maandamano utakuwa hujatenda haki! maana hao jamaa waliambiwa kuhama wakakimbila mahakamani. walipoenda huku mahakama ikamzuiya mwenye eneo kufanya lolote hadi hukumu. kulichotoke kesi ilienda three years huku nyuma watu wakiendelea kuongezeka. sasa hapo unafikiri ni haki kuandamana?
  kwa hili tusiilaumu ccm!!
   
Loading...