Elections 2010 Kawe wamegeuza matokeo

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Jamani Kawe Halima alishinda na akasign ila kwa sasa tume inatoa matokeo kuwa CCM ameshinda.
Hii ndo nini jamani?
 
Hamna jimbo la Dar ambalo limeshatangazwa na Tume isha aihirisha kutangaza. Acheni udakuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!
 
Jamani Kawe Halima alishinda na akasign ila kwa sasa tume inatoa matokeo kuwa CCM ameshinda.
Hii ndo nini jamani?

Sijui kama unasema kweli.

But, huku ni Pwani mjomba. Akili za watu wa huku zimejaa chumvi.
 
Hayo matokeo ya kawe yametangazwa saa ngapi na kituo gani cha habari kimerusha!
 
I think CCM wameona waachie kwa Masha kule na A-town watulize watu kidogo alafu wachakachue Kawe possibly na Ubungo. Majimbo mawili dar yakienda upinzani it will be perfecto..
 
Huyu atakuwa na malaria tu sie twasubiria matokeo ya tume na vituo vya TV
 
Back
Top Bottom