Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Habari wanaJF,
Walinzi wawili ambao walikuwa wanalinda ofisi za wanasheria za IMMMA zilizoshambuliwa wamekutwa maeneo ya Kawe jijini Dar Es Salaam,wakiwa hawajitambui mithili ya watu walioleweshwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uwakili ya IMMMA, Sadoc Magai ameelezea, kuwa chanzo cha tukio hilo hakijajulikana lakini alikuta mapipa ya Petrol, pia vioo vimepasuka na mlango mkubwa wa kuingilia ofisini humo umebolewa kwa kitu kinachoonekana ni mlipuko.
”Hakuna majeruhi na hakuna kilichoibiwa zaidi ya athari za jengo, ambapo jengo hili lina ofisi za mawakili 25.” amesema mkurugenzi mtendaji wa IMMMA, Sadoc Magai alipozungumza na wahabari.