KAWE: Walinzi wawili wa IMMMA Advocates wakutwa hoi bin taaban

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,396
Habari wanaJF,

Walinzi wawili ambao walikuwa wanalinda ofisi za wanasheria za IMMMA zilizoshambuliwa wamekutwa maeneo ya Kawe jijini Dar Es Salaam,wakiwa hawajitambui mithili ya watu walioleweshwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uwakili ya IMMMA, Sadoc Magai ameelezea, kuwa chanzo cha tukio hilo hakijajulikana lakini alikuta mapipa ya Petrol, pia vioo vimepasuka na mlango mkubwa wa kuingilia ofisini humo umebolewa kwa kitu kinachoonekana ni mlipuko.

”Hakuna majeruhi na hakuna kilichoibiwa zaidi ya athari za jengo, ambapo jengo hili lina ofisi za mawakili 25.” amesema mkurugenzi mtendaji wa IMMMA, Sadoc Magai alipozungumza na wahabari.
 
Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
 
Kule kule Sirro alikosema watatafuta vyanzo vya maiti zinazo okotwa fukweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Published on 26 Aug 2017
Moja ya habari iliyoripotiwa mapema leo August 26, 2017 kuungua kwa Ofisi za IMMMA Advocates za Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha. Mlinzi wa jengo la jirani na ofisi hizo kasimulia kilichotokea.

Mlinzi kasimulia kilichotokea usiku kabla jengo la Mawakili kulipuliwa

Source: Millard Ayo
Hili tukio la watu kuja na magari na bunduki bila woga unaweza kuunganisha na kujua ni kina nani hawa waliofanya shambulizi la ''onyo''
 
Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
Una ongea sana

Le blah blah kama kawaida yako. Majirani ndio walimtaarifu Fatma.
 
Mnafk mkbw we

Ova
 
Le blah blah kama kawaida yako. Majirani ndio walimtaarifu Fatma.

Inakuwaje blah blah blah wakati umeweza kuandika jibu la mojawapo!!! Basi nao wataulizwa na hizo namba zake walipewa lini ili iweje.. au kama wanajuana haya tangu lini kupeana namba... juu ya hayo nao inabidi kuhojiwa.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom