KAWE: Walinzi wawili wa IMMMA Advocates wakutwa hoi bin taaban

Kitendo chochote kinachofanywa kuinstill fear,hicho kinaitwa TERRORISM.

ule ni ugaidi pure and simple
 
Ha ha haaaaaa

Mimi nishindwe.. sema nakimbia upupwu.. ona ulichonipostia eeeeeh cha mtandaoni.. ha ha haaaa jamani hii dunia ina mambo haswaaaa... uwiiiii mbavu zangu eeeeeeeh uwiiiiiiii
Jipige vibao vya uso kwanza uamke... ha ha haaaaa nilijua tangu mwanzo hauna lolote la kunitikisa kichwa ona eeeeeh jirani na screenshot ha ha haaaaaa


Na unategemea nikujibuje? Haya watafute basi waliomtonya Fatma uwakamate.
 
Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
Unauliza maswali ya kichekechea sana, hivi wewe kweli shule ulienda au ndio wale wa KKK
 
Back
Top Bottom