KAWE: Walinzi wawili wa IMMMA Advocates wakutwa hoi bin taaban

Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
Kwanza umeandika hovyo makosa ya kimaandishi ni mengi mno, pili ule upande unaohisiwa na wengi wewe hujaugusa kabisa nahisi huo upande ndio unahusika maana wewe hukutaka kuugusia kabisa
 
Naona Roma Mkatoliki yupo sahihi tubishane kwa hoja kutekana tekana kumepitwa na wakati.

Mpaka Awamu ya 5 iishe nadhani titakarivia Rwanda na zaidi
 
Kwanza umeandika hovyo makosa ya kimaandishi ni mengi mno, pili ule upande unaohisiwa na wengi wewe hujaugusa kabisa nahisi huo upande ndio unahusika maana wewe hukutaka kuugusia kabisa

Mmmmh.. upande gani huo na kwasababu gani unataka mimi nifikiri kama wengine!?
Maandishi yanakuhusu nini ninaandika kupata pesa au... kudonoa kupo shaaaa.. vikiwa vya muhimu kwangu lazima nakuwa makini.. vingenevyo utajiju.
 
Published on 26 Aug 2017
Moja ya habari iliyoripotiwa mapema leo August 26, 2017 kuungua kwa Ofisi za IMMMA Advocates za Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha. Mlinzi wa jengo la jirani na ofisi hizo kasimulia kilichotokea.

Mlinzi kasimulia kilichotokea usiku kabla jengo la Mawakili kulipuliwa

Source: Millard Ayo

Huyu mlinzi hayapendi maisha yake
 
...wanafiki utawajua tu...wao hujitokeza mwanzo kutafta majibu kabla hata ya uchunguzi kufanyika....huku wakitumia theory za kipumbavu kabisa....huku wakijua kinachoendelea....

Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
 
Le blah blah again!

Kwani mtu kuwa na namba ya jirani yake ni jinai? Wewe unaishije na majirani zako?

Unaniuliza kituko.. ungekuwa unafahamu jengo lilipo na walio wazunguka kama ni majengo ya maofisi au makazi au vyote.. husingepoteza muda wako.. niletee hayo ya palivyo ndio uje uniulize tena.. kwanini pia yeye akimbilie kutoa taarifa mitandaoni... kwani wanatusaidia nini sisi wananchi!!! Kwanini yeye namba moja!?
Wenzake baadae.. sibadili niliyoandika earlier.

Niache zangu niko nasikilizia.
 
Uzuri umekubali kushindwa hoja. Mimi ni mmoja wa majirani na tuna neighbourhood watch mechanism yetu mtaa ule!

IMG-20170826-WA0011.jpg
 
Duh kazi ipo...

Si wana bima haya wakadai chao sasa naada ya kupata ripoti. Hivi nani alikuwa wa kwanza kufika hapo kwenye tukio.. maana naona kama Karume alifika na nani alimtaarifu. Kama hao walinzi wamekutwa hivyo nani aliwafikisha hapo... na wao lazima sio waliotoa ripoti kuwa kuna moto.. au niseme kama kuna watu waliona liliungua na ni wapita njia je walipataje namba za hao wahusika!! Na kama wana watu majirani na jengo hilo ndio walifanya hili au lile + waliokuwa wanapita basi watakuwa na uwezo wa kuelezea waliona nini baada ya mlipuko huo... kesi hii inabidi uchunguzi wa juu sana kwa sana bila kuacja kugeuza jiwe lolote. Na wajengoni inabidi piabwaangalir kesi zao ni nani wamemmaliza haswa huko mahakamani.. ambaye anaweza kitenda lililotengwa.. je wanakesi yoyote imemfilisisha mtu.. je kunani kunani.

Moja tu hawa waliotenda hili wamevizia muda wa yake marumbano na Lissu.. je kwa kuwa Karume hajajiunga nao tena kuna wenye hasira!!! Je wamemghurumu mtu kitu... kwa sasa hao walinzi ni wakulindwa na kuhojiwa haswa pia mienendo ya pale etc

Kuna kitu kimoja pia najua kesi hizi ni lazima wachunguze mambo ya kifedha kuona kuwa hawajataka kujilipua kwa ajili ya kulipwa pesa ndefu ya bima.

Naandika kama vile mie inspekta kwa kujaribu na yangu. Nawatakia kila la kheri mawakili wetu wa Tanzania na poleni.
Mbona kwa tukio hili tangu asubuhi unajistukia sana una wasiwasi gani?
 
Back
Top Bottom