Elections 2010 Kawe vipi wadau?

Inaonesha kuwa NEC wanataka kuharibu, maana kawe siyo kijijini hata wachellewe vile
CCM na NEC wanharibu amani yetu
 
chakushangaza matokeo mpaka dk hii hayajulikani, hii yote CCM wanafanya mpango wa kuchakachua matokeo baada ya matokeo ya awali kuonekana CHADEMA inaoongoza. Ole wao hao CCM wachakachue kura zetu.
 
SUSPENSE:

Majimbo yafuatayo yanatuweka presha juu jamani, tunaomba TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ITENDE HAKI. Itangaze matokeo!

1. Kawe
2. Ubungo
3. Arusha Mjini
4. Nyamagana
5. Ilemela
6. Tarime
7. Rorya
8. Bunda
9. Mbeya Mjini
10. Rombo ya Mramba

PLEASE TUME PLEASE!!!
 
Back
Top Bottom