Kawe vipi wadau? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kawe vipi wadau?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by michaelfraterne, Nov 1, 2010.

 1. m

  michaelfraterne New Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau mniambie huko jimbo la kawe vipi?
   
 2. 3

  313 Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source bbc,kawe matokeo bado chadema wamejaa kusubiri matokeo
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jamani huyu binti wasimchakachulie
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Inaonesha kuwa NEC wanataka kuharibu, maana kawe siyo kijijini hata wachellewe vile
  CCM na NEC wanharibu amani yetu
   
 5. J

  Jao Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chakushangaza matokeo mpaka dk hii hayajulikani, hii yote CCM wanafanya mpango wa kuchakachua matokeo baada ya matokeo ya awali kuonekana CHADEMA inaoongoza. Ole wao hao CCM wachakachue kura zetu.
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  SUSPENSE:

  Majimbo yafuatayo yanatuweka presha juu jamani, tunaomba TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ITENDE HAKI. Itangaze matokeo!

  1. Kawe
  2. Ubungo
  3. Arusha Mjini
  4. Nyamagana
  5. Ilemela
  6. Tarime
  7. Rorya
  8. Bunda
  9. Mbeya Mjini
  10. Rombo ya Mramba

  PLEASE TUME PLEASE!!!
   
 7. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  na Moshi mjini kwa Ndesamburo
   
Loading...