Elections 2010 kawe na ubungo vip matokeo?

extrovet

Member
Nov 1, 2010
7
0
kuwalazimisha wananchi waongozwe na mtu wasiemtaka haipendezi.wapenihaki yao walioshinda miaka bado ipo ukishindwa leo utajipanga next election utagombea tena.mbona watu wanarisiti mitihani hata mara nne mwishowe wanaenda vyuo.why in politics
 
Tuzidi kuomba wana jamii, mpango wao wa kutaka kuchakachua ishindikane kwa asilimia 100.
Ni dhahiri kuwa chadema wameshinda ubungo na kawe.
 
Utendaji wa tume ya uchaguzi ni Pathetic. Lakini hili linaeleweka kwani nchi yetu bado haitawaliwi kwa kufuata sheria. Taasisi zetu bado ni weak sana kwani sheria zetu hazitoi mgawanyo wa madaraka kiutendaji ambao ni clear cut. Wasimamizi wa uchaguzi maeneo mengi wanasubiri kupewa maelekezo hata kama matokeo yameshatoka na wanayo. Wanaogopa kutangaza matokeo kwani uzoefu wao huko nyuma ni kuwa ukitangaza matokeo ambayo viongozi wa Chama tawala hawayataki (ingawa ni matokeo halali) unashughulikiwa bila huruma. Hii ndo inafanya haya matatizo ya matokeo kucheleweshwa! Wameshaambiwa msitangaze matokeo mpaka fulani na fulani wayapitie. Hii ndo tatizo. Viongozi wetu wengi wameshakuwa walevi wa madaraka na kwao jinai ndo maisha ya kila siku.

Kuchelewesha matokeo ni kuogopa kukwepa surprise. Wanataka wajue kwanza mwenendo mzima ili wazishughulikie tarakimu ziweze kutoa matokeo yanayotakiwa.
 
Kijana John Mnyika wa Chadema ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha ubunge Jimbo la Ubungo. Sasa tunahamia kawe kudai matokeo. Tukitoka kawe tunaenda Segerea, then ukonga and so forth. Wao si walisema ni shuka kwa shuka, basi sisi ni kituo kwa kituo na jimbo kwa jimbo mpaka kieleweke. Hakuna kulala!
 
Wapiganaji mmesomeka kila la heri mnavyohamia kawe,iliwezekana america a long terms of slaves for black people ije hapa bongo.change we can
 
Vipi bado ya kawe hayajatoka wadau?
Watu wa Mungu tuendelee kuomba ktk mbinu zote wasifanikiwe kuchakachua ili haki itendeke na matokeo halilsi yatangazwe maana Tanzania tunajikomboa kama wana wa Israel walivyokombolewa kule misri, tufaidi nchi yetu yenye maziwa na asali(rasilimali za nchi)
 
Back
Top Bottom