Elections 2010 Kawe Kulikoni

Jamani hakuna mwenye habari yoyote kutoka Kawe?
Mama anahitaji support,

Wanafanya kuchelewesha tu lakini uwezo wa kubadirisha chochote hawana kwa upande wa Ubunge labda wachakachue kura za urais, lakini Chadema amechukua hilo jimbo na hilo halina ubishi.

Tiba
 
Nilisikia eti CHADEMA wameshinda viti vya udiwani vitano na CCM sita sasa hapo napata mashaka kama kama kura zikienda kama zilivyaokuwa kwa udiwani basi hali ya Mdee inaweza kuwa tata.
Yoyote mwenye data za uhakika atujuze.
 
Back
Top Bottom