Kawe kimenuka, nasikia milio ya risasi sijui ndo mambo ya uchaguzi

mc luggy

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
454
101
Jamani wana JF usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri
 
Back
Top Bottom