Elections 2010 kawe kimeeleweka

hongera sana Mdee!!!!!!! CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
uko wapi na umeyapataje matokeo mkuu, usiwe unaturusha roho tu.

mkuu nasikiliza Radio live, msimamizi ikitangaza matokeo
Mbatia kapa 11600+

Habari ni za ukweli, update list yako tu
 
Safi sana. Kwa matokeo haya naamini JK amefunikwa vibaya sana na Dr Slaa. Maana wao wameshinda kwenye vituo vidogo vidogo.
 
walio jiandikisha walilikuwa 260,443
waliopiga kura 100,409
kura mbofumbofu 51 kwa ubunge

Idadi ya wapiga kura bado haikuridhisha, inawezekana waliujumiwa?
 
Majimbo ambayo Chadema imeshinda CCM inawauma kweli

Ni kweli ni kama mtu mwenye wachumba wengi lakini unayempenda zaidi anaolewa na mtu mwingine. Kwa hiyo hata ukijipa moyo kwa kusema 'well still nina wengi wa kuchagua' haisaidii kitu. Jimbo moja wanalochukua Chadema ni tamu kuliko 10 ya CCM
 
Kama una njaa usiingie JF maana mbavu zako zitavunjika!!!!!!! Yaani huku kama wote watoto wa baba mmoja ipo siku utasikia huu ni mtandao wa kuhamasisha vijana kuichukia CCM! Alikuwepo Malaria Sugu saizi nadhani kapona kabisa.
 
mamaaaa CCM ndo tunaelekea kuanza mwisho wetu kweli???
siamini
 
HHHHHHHHHHHHHHHHHHHurererere Halima Mdee bado Segerea,
Busanda vipi? any reliable news?
 
Back
Top Bottom