Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Bonge la mistake wamelifanya. Wasingechoma moto badala yake wangewapa wabunge wa upinzani wazitumie kama ushahidi hapo baadae.
Kuzichoma moto ni dalili ya kutengenezwa hili tukio ili kuwachafua baadhi ya watu. Kama hizi ni karatasi halisi za NEC, lazima zitakuwa na alama muhimu zisizo gushiwa za nec, hivyo watenezaji wa karatasi hizo wanaogopa wakienda kwa mahakama zikijulikana kuwa feki, kesi itawageukia ndio maana wameamua kuzichoma badala ya kuziweka kama ushahidi.
Hivi zitu ukiwa na akili ya ushabiki huwezi kuyoa haki. Watu ni mabingwa wa kutengeneza matukio kama lile la faru john kule dodoma.
 
Wananchi wameupuuza uongo ulioratibiwa na Halima Mdee na genge lake

Katika hali isiyo ya kawaida mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee alijaribu kutengeneza taharuki kwa kushirikiana na vijana wa Chadema ambapo walichukua fomu ya mfano ya kupigia kura ambazo hutumika kutolea elimu kwa wananchi kuhusu kupiga kura na kuzirudufu kisha kuweka alama ya vema kwa wagombea wa CCM.

Baada ya kutokea kwa tukio hilo wananchi walianza kuhoji, Halima Mdee alipata wapi taarifa hizo? Je aliyekamatwa akiwa na kura hizo feki kwaanini hawakumuonyesha kwenye video?
Je, kwanini walichoma moto kura hizo wanazoziita feki ambazo zilifaa kutumiwa kama ushahidi? Je, viberiti na nyenzo nyingine walizotumia wamevipata wapi?

Ni wazi kuwa walikuwa wamejiandaa vya kutosha kupotosha wananchi na kuleta taharuki japo mpango wao wapiga kura waliushtukia na kuamua kuwapuuza viongozi hao wa Chadema.
Pamoja na hilo, Halima Mdee alikuwa akitengeneza mazingira ya kukamatwa na polisi ili aonewe huruma na wananchi lakini polisi pia walimshtukia mpango wake na kuamua kumpuuza.

Mwisho Kabisa nitoe pongezi kwa Watanzania wote kwa kuamua Kupiga kura kwa amani na utulivu wa hali ya juu.

#TanzaniaImeamua
#MitanoTena
 
Aisee huo uhuni wauache mara moja.

Hawa wapinzani kama vile hawajaenda shule kabisa.
 
Asante mtoa mada...

Tunachotakiwa kujua siasa ni mchezo.

CCM wanaweza fanya yao na pia wapinzani wanaweza kutumia huu mwanya kuprint hizo kura na kurusha video ili kuleta hamaki.

Ni vizuri kuutafuta ukweli kwanza.
 
Wakati mwingini ni bora zichomwe. Ukizipeleka police inakamatwa wewe, ukizipeleka kwenye tume wanaita police wanakukamata. Ukisema utunze ushahidi maana yake umeharibu kesi. Ushahidi unatunzwa na police. Na ukikaa nazo na kosa kubwa sana unaweza geuziwa kesi na kuambiwa wewe ndye umezitengeneza na nia ni kusingizia CCM.
 
Hayo makaratasi ni Yale ambayo yamekamatwa vipi ambayo hayajakamatwa?.
Wameingiza kura ngapi CCM kwa mtindo huu?.
Ikiwa mjini Hali ipo hivi .je huko vijijini si ndo mtafanya shamba la Bibi.
Mnadumbukiza tu mikura kwenye mabox..
TUME HURU,TUME HURU,TUME HURU

maneno ya humu hayana nguvu.. kila muntu munaandika kwa lolote tu.. hayo yamepitwa na upepo.. awamu hii imeonyesha Watanzania kuwa wazalendo.. JPM tano tena.. Hapa kazi ya tano tena.. ni kusaga meno tu.. 💚 💛 💚 💛 💚
 
Kwanini wanaharibu ushahidi?
Sababu ni kura halali, kinachowama zimepigwa kwa mgombea wasiyemtaka. Mawakala wengi wa upinzani wamechelewa kufika vituoni. Wanafika Mdee analazimisha upigaji kura uanze upya.

Mtu anabegi lake mgongoni anadai hairuhusiwi sijui begi linaingia kwenye tundu la sanduku!! Nimekutana na kundi la mawakala Kimara wanahangaika kutafuta kituo cha Bonyokwa sijui wamefika saa ngapi
 
Kweli..
Upinzani Tanzania Wana nia mbaya ya kuchafua uchaguzi wetu washindweeee
maneno ya humu hayana nguvu.. kila muntu munaandika kwa lolote tu.. hayo yamepitwa na upepo.. awamu hii imeonyesha Watanzania kuwa wazalendo.. JPM tano tena.. Hapa kazi ya tano tena.. ni kusaga meno tu..
Screenshot_20201028-164603.jpg
Screenshot_20201028-164620.jpg
Screenshot_20201028-164653.jpg
Screenshot_20201028-164727.jpg
 
Kumbe kiswahili kigumu hivi
haya ya kula feki wamepigwa bao.. walifikiri watanzania hajitambui.. eti upinzani chadema wakapanga ya kula feki huku watu wanamiminika kupiga kura kama kawa.. Maendeleo na uongozi wa kihistoria unaenda kubeba 5 tenaaaaaaaaa
 
HALIMA MDEE NA WANACHADEMA NA ACT WAZALENDO WAIBUA WIZI MKUBWA SANA WA KURA

Dada wa watu leo amekuwa kama gangwe..hoi.. kura zipi huku hana hata moja mkononi tuzione.. au zile mmemaliza mlizobeba copy.. muzingizie CCM?

leo wapi sherehe.. karibu hapa kijijini.. eti Lissu bae kashindwa kupiga kura kisa sio raia.. eeeeeeh makubwaaaaaaa

Magufuli baba laooooooooo 💚 💛 💚 💛💚
 
Back
Top Bottom