Kawambwa/Serikali Iwe makini "SHABAN mlacha vs IDRS.Kikula"

wewe kweli unatafakari vizur, wengine haya matatizo tumepewa na tumesikiliza na kufatilia japo kwa uchache, sasa eti waziri , bungeni anatoa tamko, huu ni uasherati, wakibakwa dada wa wezao raha, dada zao dhambi, then eti mnaleta kujua, watoto wanaitiwa kazi hamna vyeti. mshen1zi anatetea upuuzi. wezi wakubwa
Pale kilichotendeka ni wizi na miongoni mwa wahusika ni watu wa it ndio maana wengine badala ya kujadili hoja walijaribu kuikwepesha kwa makusudi ili watu wasiijadili lakini nafatilia kwa karibu na nitahakikisha pesa zinarudi na nitarudi kuelezea matokeo ya ufatiliaji wangu sio kila mtu yuko juu ya sheria isitoshe hizo pesa ni mkopo unaotakiwa kulipwa kwa wasifikiri mambo yameisha ndio kwanza yanaanza watu wa kwanza ni bodi,then bank baadae chuo kwa hiyo waliofanya mchezo huo watajulikana tu wala siyo swala la kutoa majibu rahisi
 
Back
Top Bottom