Kawambwa awapigilia msumari walokosa mikopo mwaka huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kawambwa awapigilia msumari walokosa mikopo mwaka huu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Nov 1, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna nyingine,ameyasema hayo katka kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na Itv kila siku ya jtatu.swali,kuna haja gani ya kutumia mabilion ya shilingi ktk maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wkt kuna watu wamekosa ufadhili vyuon?
   
 2. P

  Piazza jr Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dahh hii nchi cjui inaelekea wapi,viongozi wanajinufaisha wenyewe 2 huku vitu vya maana wanaviweka pembeni
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  mbona hela za kufanya vitu vingine zipo, hii serikali isiyotaka kuinvest kwenye elimu ni serikali mbumbumbu sana.

  Itatugharimu sana baadaye
   
 4. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bora kutokuwa na Serikali kama ilivyo Somalia kuliko kuwa na Serikali legelege isiyokuwa na mipango ya maana pamoja na vipaumbele kwa mustakabali wa watu wake.
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hili mbona linajulikana serikali imefilisika na haina pesa kwenye kihenge chake, mpaka leo hatujalipwa mishahara
  Sijui wenzetu mapolisi na wanajeshi kama wamelipwa
   
 6. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  du hata sisi bado na hakuna taarifa, hata kazi zimekuwa chungu
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kabisa Mkuu yani hii Serikali sijui inatupeleka wapi kwa kweli, hela za kusafirishia wafanya biashara kuzunguka na JK nje ya nchi wanazo ila kwa wanyonge wenyekupenda elimu hawana inauma kwa kweli, ila waelewe fredom is coming very very soon!!

   
 8. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Serikali kupeleka mil 400> kuadhimisha miaka 50 hawaoni shida......mjini shule!
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  halafu wanatafuta mchawi kwa nini vijana hawaipendi ccm. WANAKATA TAWI WALILOLIKALIA, wataanguka punde
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Uzuri walio kosa wengi ni watoto wa wenye nazo wamesoma Academic na Mast. watoto wa Kantalamba huko wamepewa mikopo tena minene hongera sana kwa kuwakumbuka watoto wa wakulima serikali kazeni uzi hivyo hivyo mpaka kuwe na usawa nchi hii. Mzazi anamlipia mtoto ada milioni 2.3 atashindwaje kulipa ada ya chuo milioni 1.2? Safi sana
   
 11. Z

  Zidy Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hujielewi..kungekuwa na limit humu jf kuhusu watu kama nyingi mnaofikiri na ma**ko
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,791
  Trophy Points: 280
  Katika sherehe ya miaka 50 hii kitu itagawiwa nchi nzima: View attachment 40389
   
 13. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hebu na mbie mke wa riz1 naye katoka kantalamba mmh? Hiv huyu naye n mtoto wa mkulima. Mtoto wa pinda yuko udom tena kadisco na mkopo ful naye ni mtoto wa mkulima au askari magereza mmmh???
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  majitu kama haya cjui yanatokeaga wapi hapa jf?
   
Loading...