Kaunga

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Nimekosea nadelete wapi wajameni!!!!!!

Kaunga so sorry, nilitaka ku pm!

Bia hizi mbaya sanaaa!

Kaunga im more than sorry!

Najua natuma Pm kumbe naanzisha topic! Jesus Christ! Dah bora nilivowahi kuedit, guest mmoja tu kanibamba na original version!
 
hahahahahah mabo ya viti virefu ni noummmerrrrrrrrrr!!! hahahahahahahahahahahaha
 
Punguza pombe kali na viroba vya bure!!

Hahahaaaaaaaaa! Ungejua ni Redds tu ndo zinanipeleka peleka! Dalili ya mvua mawingu! Uzee wanijia! Redds inaniaibishaaa? Sigusi Combo ya Sminorf na Amaruala naweza kuzimika bureeeee!

Hatari!
 
Baba yenu sitii guu. Maana waarabu wa Pemba mwajuana kwa makanzu au siyo wanangu.
Nimekosea nadelete wapi wajameni!!!!!!

Kaunga so sorry, nilitaka ku pm!

Bia hizi mbaya sanaaa!

Kaunga im more than sorry!

Najua natuma Pm kumbe naanzisha topic! Jesus Christ! Dah bora nilivowahi kuedit, guest mmoja tu kanibamba na original version!
 
khe khe khe. mutoto ya mjini. private messages na post new topic wapi na wapi??!! hebu nicheke mie
 
Hahahaaaaaaaaa! Ungejua ni Redds tu ndo zinanipeleka peleka! Dalili ya mvua mawingu! Uzee wanijia! Redds inaniaibishaaa? Sigusi Combo ya Sminorf na Amaruala naweza kuzimika bureeeee!

Hatari!

Dah hii makitu ni noumer yeuwiiiiiiii...........
Nimeimiss jamani khaaaaa!!!!!!

smirnoff_ice.jpg

na hii hapa

amarula.jpg
 
Nimekosea nadelete wapi wajameni!!!!!!

Kaunga so sorry, nilitaka ku pm!

Bia hizi mbaya sanaaa!

Kaunga im more than sorry!

Najua natuma Pm kumbe naanzisha topic! Jesus Christ! Dah bora nilivowahi kuedit, guest mmoja tu kanibamba na original version!

tena bia zenyewe za bure..
 
Abee!
Usijali, ushasamehewa ngoja niingie PM nione ni maujanja gani uliyonimwagia today! LOL

Back
Top Bottom