Kaulimbiu ya aids 2012 toka jamii forums.

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Ikinge jamii na jamii itakukinga na virusi vya ukimwi......
Hii ni kauli mbiu ya ukimwi toka jamii forums mwaka huu 2012.
Nawapenda wote wana jf mungu aepushe janga hili.
 
Ikinge jamii na jamii itakukinga na virusi vya ukimwi......
Hii ni kauli mbiu ya ukimwi toka jamii forums mwaka huu 2012.
Nawapenda wote wana jf mungu aepushe janga hili.
Nauliza hii ni kaulimbiu ya WADAU au WAATHIRIKA hapa JF?!
Kama ni wadau hapana, ianze ya waathirika kwanza...
Hukuona ratiba ilivyovurugika hapo DAR?!
 
Be blessed, kuna thread nimeianzisha kule itafute uweke neno pia, thanks
 
Back
Top Bottom