Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu.

Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?.

Za kwangu hizi:

-Matokeo ya kamati ya Uchunguzi wa Moto Kariakoo sijayaelewa kabisa, lakini tuiachie mamlaka. Muda utatuambia.

Mzee wa piko kamba Kali sana 😃😃😃
 
Katika PM wabovu kuwahi kutokea bongo,huyu anaongoza baada ya Mizengo Pinda,kwanza hata ubunge wake ni WA magumashi,wananchi walikuwa hawampendi,ni muongo sana,alidanganya kuhusu mwendazake,alienda Kiwanda Cha nguo Urafiki akatoa ahadi ya kutatua kero za wafanyakazi,miaka imepita sasa,aliaidi kuwashughurikia wale vingunge wa Hadhina waliopiga millioni 500 kwa kazi maalum,mpaka leo kimya,
 
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni..Kwa kazi Alizofanya Majaliwa toka kwa Magufuli Mpaka Sasa kwa Mama Samia Bado Kuna mtu anaweza kufungua mdomo wake na kukashifu anacho fanya Majaliwa.
Au labda Kama MnaAgenda Nyingine ya kumchafua tu
 
Sidhani Kama Kuna mtu Ni mtaalam wa kupiga saundi Kama huyo mzee kwa Hapa Afrika Masharti na Kati.
 
Kwani ulikuwa ni uwongo!!..?
ama bado unaishi ulimwengu wa kianalogia/kizamani.....
Yaani dunia yenye watu Bilioni 7, watu Bilioni 5 waache kazi zao duniani kote wamuangalia Magufuli amekufa🙄 Mi mwenyewe sikuangalua. Huko duniani watu hawajui hata Tanzania ni kitu gani, achilia mbali iko wapi...Watu hawamjui Nyerere sembuse Magufuli.
 
Inawezekana na iliwezekana labda kwa kukusaidia kama unahitaji data za viewers tukupe lakini usibishe kitu ambacho hukijui
 
Kiukweli Majaliwa anaupiga Mwingi Sana

Na ukiona Mtu anamchukia Majaliwa Bila shaka atakuwa ameguswa yeye au Ndugu yake kwenye kwenye Ile operation ya kuondoa vilaza na wavivu maofisi na Bado Majaliwa ataendelea kuwafanya mfanye kazi na sio janjajanja
 
Unaorodhesha makosa TU, muungwana huonesha na mema pia. Hakuna aliye mbaya Kwa Kila kitu
 
Tatizo Tunapenda kuandika mambo ambayo hatuyajui.. Waziri Mkuu alipokwenda soko la kariakoo wakati limeungua iliundwa tume lakini Mhe. Rais wetu SAMIA SULUHU HASSAN akaona atoe fedha kea ajili ya kulijenga upya na liweze kuchukua watu wengi zaidi. Sasa sijui unataka utendaji gani wa Waziri Mkuu? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Shida vijakazi vya mabwanyenye wapo kazini kuifanya serikali makini chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ionekane kuwa haifanyi Kazi chini ya Mtendaji wake wa shughuli za serikali za kila siku...Mbona Majaliwa ameshasema mama tunaye Hadi 2030.. labda mtunge stori zingine maana sio kwa namna serikali wanavyoupiga Mwingi kila kukicha
 
Mbona Waziri Mkuu ameshawaambia Mawaziri wenzake na wabunge kuwa tutakwenda na mtu mmoja tu ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan...Sasa nyie mnaotumwa endeleeni kudemka
 
Back
Top Bottom