Kauli za waanzilishi wa CHADEMA juu ya huu mgogoro...!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Kama sikosei waanzilishi wa CHADEMA walikuwa ni hawa hapa chini!
Hivi wanasemaje au waliwahi kusemaje juu ya kinachoendelea juu ya chama hiki?

Edwin Mtei (Arusha),
Makani (Shinyanga),
Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
Edward Barongo (Kagera),
Mary Kabigi (Mbeya),
Menrad Mtungi (Kagera),
Costa Shinganya (Kigoma),
Evalist Maembe (Morogoro) na
Steven Wassira (Mara)

Tujadili kwa busara wapendwa!
 
Kama sikosei waanzilishi wa CHADEMA walikuwa ni hawa hapa chini!
Hivi wanasemaje au waliwahi kusemaje juu ya kinachoendelea juu ya chama hiki?

Edwin Mtei (Arusha),
Makani (Shinyanga),
Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
Edward Barongo (Kagera),
Mary Kabigi (Mbeya),
Menrad Mtungi (Kagera),
Costa Shinganya (Kigoma),
Evalist Maembe (Morogoro) na
Steven Wassira (Mara)

Tujadili kwa busara wapendwa!

hapo penye Red upo sahihi?
 
unataka tufanye nini sasa tunajadili nini kama ndiyo walianzisha kadima kosa liko wapi.
 
Mkuu, unapojibu post ya mtu lazima uangalie kwanza alichocomment mtu aliyemjibu. hakuna mahala nimetaja kuwa hao walikuwa waasisi kama vile ilivyo kwa ZZK aka MM

Lakini hapa si tunazungumzia waanzilishi na mwekundu akadai ZZK nae ni mwanzilishi nami nikamuuliza mwaka 1992 alikuwa na umri na mvuto gani? Wewe ukatoka nje ya mada ukasema hata Slaa na Mbowe hawakuwa na mvuto mwaka 1992. Sasa kosa langu liwapi?
 
Last edited by a moderator:
Wassira hajawahi kuwa Mwanzilishi wa chama cha Wachaga.
Mwaka 1995 aligombea ubunge wa Bunda kwenye kura za maoni akamshinda Warioba, wakakata jina lake, ndo akaenda NCCR-MAGEUZI.
Kwa ufupi Wassira ni kama upepo haukamatiki.
Rais wetu Mtarajiwa 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom