Kumekua na hili jambo ndani ya baadhi ya viongozi wakihimiza wengine masaa 24 mara siku 7 oh siku 14 bila kujali uhakiki wa kile kinachohitajika kukamilishwa kwa huo muda hii imeekaje ni siasa au ndo utendaji wenyewe tusaidiane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.