Kauli tata nyingine, ni hii ya majuzi wakati JK anaongea na wahariri wa vyombo vya habari, aliposema kuwa hakuna rushwa yoyote iliyotokea kwenye ununuzi wa rada, isipokuwa ile kampuni ya kiingereza ya BAE systems,iliyotuuzia hiyo rada, ilijichanganya ikakosea kuprint bei yake, ikaaongeza kwenye maandishi sterling pound milioni 28, na ndiyo maana majuzi tulirejeshewa CHENJI ya TSHS bilioni 72!!!kama ni kweli hiyo nyongeza kubwa yote hiyo lilikuwa ni kosa la uchapaji, basi tuna viongozi wazembe wa hali ya juu, na kwa hilo hawapaswi kuendelea kushika nyadhifa zao!! kwa kuwa kama wameweza kulipa bilioni 72 zaidi ya bei ya kawaida, je tumeshawahi kuchomekewa mara ngapi malipo hayo makubwa na tumeyalipa?na je kama siyo kelele ya wabunge wa UK na SFO yao, hizo pesa zingerudi kweli?! Wakati mwingine JK aangalie uwongo wa kuwadanganya wa-TZ, uwongo huo alioutoa hapo majuzi, hata mtoto mdogo wa chekechea hawezi KUDANGANYIKA!! Na sasa analazimika kutwambia,mbona pesa za mzee wa vijisenti, Chenge ambazo zilikutwa kwenye benki ya nje ya New Jersey, hakuwahi kuziandikisha kwen Tume ya maadili ya viongozi??!!!
Kauli tata nyingine, ni hii ya majuzi wakati JK anaongea na wahariri wa vyombo vya habari, aliposema kuwa hakuna rushwa yoyote iliyotokea kwenye ununuzi wa rada, isipokuwa ile kampuni ya kiingereza ya BAE systems,iliyotuuzia hiyo rada, ilijichanganya ikakosea kuprint bei yake, ikaaongeza kwenye maandishi sterling pound milioni 28, na ndiyo maana majuzi tulirejeshewa CHENJI ya TSHS bilioni 72!!!kama ni kweli hiyo nyongeza kubwa yote hiyo lilikuwa ni kosa la uchapaji, basi tuna viongozi wazembe wa hali ya juu, na kwa hilo hawapaswi kuendelea kushika nyadhifa zao!! kwa kuwa kama wameweza kulipa bilioni 72 zaidi ya bei ya kawaida, je tumeshawahi kuchomekewa mara ngapi malipo hayo makubwa na tumeyalipa?na je kama siyo kelele ya wabunge wa UK na SFO yao, hizo pesa zingerudi kweli?! Wakati mwingine JK aangalie uwongo wa kuwadanganya wa-TZ, uwongo huo alioutoa hapo majuzi, hata mtoto mdogo wa chekechea hawezi KUDANGANYIKA!! Na sasa analazimika kutwambia,mbona pesa za mzee wa vijisenti, Chenge ambazo zilikutwa kwenye benki ya nje ya New Jersey, hakuwahi kuziandikisha kwenye Tume ya maadili ya viongozi??!!!