Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

RC Pwani mwantumu wkt akiwa Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi aliwahi kusema km ualimu haulipi basi WALIMU wakatafute kazi nyingine za kufanya.Alikuwa anaongea km yy vile nafasi aliyonayo kapewa na MUNGU.Duniani kuna mambo,na masikini akipata basi mk**** hulia mbwaambwaa.
 
Asalaamu
  1. BASIL Mramba alipojiwa juu kuhusu ununuzi wa rada na madhila yake kiuchumi alijibu TUTAKULA HATA NYASI NA RADA ITANUNULIWA
Je je je unakumbuka kauli nyingine kali iliyowahi kutolewa na mawaziri/viongozi ungana nami katika uzi huu

Hapo kwenye red ni ndege na si rada mkuu. Nimeipenda hii collection yako.
 
Back
Top Bottom