Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

Tayari tumeshatimiza takribani miezi 8 ya Utawala wa Rais JPM. Katika kipindi hikli cha miezi 8 Watanzania wameanza kujua wana Rais wa aina gani na ana mwelekeo gani. Pamoja na pongezi za utumbuaji majipu wa kupambana na Ufisadi JPM ameonekana ni dhaifu katika kusimamia Utawala Bora au Uatwala unaofuata Katiba na sheria. Hili linaweza kuthibitishwa na kauli tata zenye viashiria vya Ubabe na Udikteta. Baadhi ya kauli hizi ni:

1. Wakazi wa Kigamboni ambao hawataweza kulipa shilingi mia mbili kama nauli ya Ferry WATAPIGA MBIZI.

2. Wale ambao wanapata mishahara mikubwa ya kuanzia milioni 30-45 na WANAISHI KAMA MALAIKA nitawashusha mishahara yao iwe chini NAO WAISHI KAMA MASHETANI.

3.Mimi sina Uvumilivu kama wa Mzee KIKWETE, Ile siku alipoingia akakuta watu wanaimba wana imani na MTU FULANI ingelikuwa ni mimi ZAIDI YA NUSU YA WAJUMBE NINGEWAPOTEZA....!!!

4. Nataka Polisi mnapokamata MAJAMBAZI MUWANYANG'ANYE SILAHA HARAKAHARAKA MTANIFURAHISHA KWELI.

5. Wanafunzi waliokuwa wanasoma UDOM WOTE NI VILAZA hivo wote warudi nyumbani.

6. Mimi ni TOFAUTI SANA HUWA SIJARIBIWI NA SITAKAA NIJARIBIWE, WALE WANAOTAKA KUANDAMANA TAREHE 1 SEPTEMBA NATAKA WATANGULIE WAO NITAWAONYESHA CHA MTEMA KUNi!!

Matamko mengine ya JPM ni kama haya .'' SAMAKI WA MAGUFULI......" NATAKA TANZANIA YA MAGUFULI IWE YA VIWANDA, MKONO WA MAGUFULI UMEZUIA MABOTI KWENDA ZIWA VICTORIA. n.k na n.k.
 
1. Wakazi wanaokaa Kigamboni ambao hawawezi kulipa shilllingi mia mbili ya Ferry WATAPIGA MBIZI.

2. Wale ambao wanapata mishahara mikubwa ya kuanzia milioni 30-45 na WANAISHI KAMA MALAIKA nitawashusha mishahara yao iwe chini NAO WAISHI KAMA MASHETANI.

3.Mimi sina Uvumilivu kama wa Mzee KIKWETE, Ile siku alipoingia akakuta watu wanaimba wana imani na MTU FULANI ingelikuwa ni mimi ZAIDI YA NUSU YA WAJUMBE NINGEWAPOTEZA....!!!

4. Nataka Polisi mnapokamata MAJAMBAZI MUWANYANG'ANYE SILAHA HARAKAHARAKA MTANIFURAHISHA KWELI.

5. Wanafunzi waliokuwa wanasoma UDOM WOTE NI ****** hivo wote warudi nyumbani.

6. Mimi ni TOFAUTI SANA HUWA SIJARIBIWI NA SITAKAA NIJARIBIWE, WALE WANAOTAKA KUANDAMANA TAREHE 1 SEPTEMBA NATAKA WATANGULIE WAO NITAWAONYESHA CHA MTEMA KUNi!!

Matamko mengine ya JPM ni kama haya .'' SAMAKI WA MAGUFULI......" NATAKA TANZANIA YA MAGUFULI IWE YA VIWANDA, MKONO WA MAGUFULI UMEZUIA MABOTI KWENDA ZIWA VICTORIA. n.k na n.k.

Matamko ya Mbowe yenye tija ni yapi km siyo kufukuza wanampinga, kuna decteta zaidi ya mbowe.
 
Atakaepita kwenye barabara ya mabasi ya mwendokasi mng'oe matairi.

Traffic kupewa 5000 sio rushwa ni ya kusafishia viatu.

Tukiamia Dodoma nitapiga mnada majengo ya Serikali.
 
Atakaepita kwenye barabara ya mabasi ya mwendokasi mng'oe matairi.

Traffic kupewa 5000 sio rushwa ni ya kusafishia viatu.

Tukiamia Dodoma nitapiga mnada majengo ya Serikali.
"Atakaepita kwenye barabara ya mabasi ya mwendokasi mng'oe matairi yake kesho akija kuuliza mwambieni lilikuja hivyo hivyo"
 
Wakazi wanaokaa Kigamboni ambao hawawezi kulipa shilllingi mia mbili ya Ferry WATAPIGA MBIZI.
Kwa hili raisi alikuwa anataka timuyetu ya olimpiki ya kuogelea ituletee dhahabu tupu.
Mimi ni TOFAUTI SANA HUWA SIJARIBIWI NA SITAKAA NIJARIBIWE, WALE WANAOTAKA KUANDAMANA TAREHE 1 SEPTEMBA NATAKA WATANGULIE WAO NITAWAONYESHA CHA MTEMA KUNi!!
Kwa hili raisi wetu kipenzi cha watz, aachwe afanye kaazz,hii ni awamu ya tano,asyefanya na kazi na asile, anayefanya maandamano na ale virungu, please turn over.
 
Hivi nikweli aliwahi kuyasema hayo???????

Rugaiyulula,

Tunasoma kwene Biblia kuwa baada ya Yesu Kristo kufufuka alikutana na Wanaunzi wake wakielekea Emmau wakizungumza habari zake na yeye akajifanya kama vile hajui lolote. Bilaya kujua kuwa ni yeye walimshangaa na kumwuliza swali,''HIVI WEWE NI MGENI KATIKA YERUSALEMU?''
Nami napenda nikuulize swali kama hilo, "JE, WEWE NI MGENI KATIKA NCHI HII MPAKA UULIZE KAMA JPM AMEWAHI KUYASEMA HAYO?"
Tatizo Wabongo wengi hawataki kufuatilia na kuchunguza mambo yanayowahusu kiasi kwamba wamebakia kufuata mikumbo na kuendeshw akama magari mabovu!!!!
 
Back
Top Bottom