Kauli za Viongozi wa Tanzania Usanii Mtupu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za Viongozi wa Tanzania Usanii Mtupu.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Jul 15, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Habari wana Jf,

  Kuna kauli zinazotolewa na viongozi wetu ambazo kweli ni usanii, Achana na hii ya Baba Riz 1 ya "Bora maisha kwa kila Mtanzania" ambayo imekuwa kitendawili...... hivi huyu Bosi wa EWURA aliposema mafuta yatashuka kuanzia July Mosi na mpk sasa hayajashuka bali yamepanda na hakuna anayesema chochote maana yake ni nini?? Eti wanamwambia tulikuwa na mafuta mengi sana ya akiba so yakiisha tutashusha... naye kama zuzu fulani akasema sawa.... bila hata kujiuliza kwani mafuta ya taa hawakuwa nayo ya akiba? iweje bei yake ilipanda siku ile ile?? Zipo kauli nyingi ambazo ni kichefu chefu.... ambazo huwa najiuliza hivi hawa viongozi ni waoga, mazuzu au.....HATUNA SERIKALI???

  Kama kuna kauli/Agizo lolote ambalo linalokukera hebu iweke hapa......
   
Loading...