Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

“Tunapokataza watoto wa kike wasiendelee na masomo pindi wanapopata ujauzito wakiwa mashuleni tunawaadhibu watoto wa masikini washindwe kutimiza malengo yao kwa wakati waliotarajia”

Jana Rais wa Jamhuri ya Tanzania mh. John Pombe Magufuli kasema, kwenye utawala wake hakuna mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari atakayepata mimba au mtoto atakayerudi darasani.

Unaomba ushauri wa nini!!! hujioni kwamba umekurupuka!?

Hayo maneno ya Mama Samia kama ni hayo hayo hakuna lililotofautiana.

Kwani si kasema wanawaadhibu sasa kutokurudi shule ya bure si ndio kayasema JPM.

Wana uhuru wa kwenda shule zingine kusoma zisizo zile za bure wakisha jifungua.
 
Akimwakilisha Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa maswala ya kijinsia ulioandaliwa na Chuo Cha Ualimu (DUCE), WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu alisema,

“Tunapokataza watoto wa kike wasiendelee na masomo pindi wanapopata ujauzito wakiwa mashuleni tunawaadhibu watoto wa masikini washindwe kutimiza malengo yao kwa wakati waliotarajia”

Jana Rais wa Jamhuri ya Tanzania mh. John Pombe Magufuli kasema, kwenye utawala wake hakuna mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari atakayepata mimba au mtoto atakayerudi darasani.

Hizi lugha tofauti sisi wananchi zinatuchanganya, najiuliza hivi huu utawala viongozi wake huwa hawawasiliani kabla ya kwenda public kwa maswala yanayofanana?

Ushauri tafadhali.
....kama Trump na wasaidizi wake mkuu.

sisi na Wamarekani hatuchekani awamu hii - we are all screwed!
 
Top mgt akishasema basi zile kauli zilizopita unafuta. Kauli ya mkubwa ndio ya mwisho...ukiona msaidizi wake ametamka na mkuu yupo kimya basi ujue ni sahihi kile kilichosemwa. Lakini ukiona msaidizi amesema alafu anakuja mkubwa anasema tofauti....basi mfuate mkubwa....maana ukimfuata msaidizi na ukaharibikiwa mambo basi wewe utastahili kupata adhabu ambayo imetamkwa na mkubwa...full stop!!!. Kwasasa tuchukue tahadhali tu!, hayo mengine tukae na wanetu tuwalinde na kuwafunda kila mara
 
'Katika utawala WANGU..akipata mimba ni MARUFUKU...SIWEZI Fanya kazi ya kusomesha WAZAZI.'
Napenda kujiweka kwenye position ya mtu sometimes ili at least nimwelewe.
Naona katumia maneno makali akiwa na lengo la kudiscourage mimba kwa wanafunzi wa kike.
Nikama wale wazazi wakali wanaowakemea watoto wao'ukipata mimba NAKUUA!'.Kwasababu wao ndio wametuzaa na kutugharamia katika kila kitu hivyo wanaona uchungu na fedheha watoto wakipata mimba wakiwa bado wa nasoma.

Ila,ukiwa 'baba' wa nchi.Ina Maana unasimamia familia za walipa kodi wote,wenye watoto wanaohitaji elimu.Ambao wako vulnerable na mambo mengi:kupata mimba,kubakwa,kutoa mimba,kuvuta unga n.k
Therefore,chochote atakachoongea kitagusa kila familia kwa namna tofauti.Ni kama nyumbani mzazi akisema jambo inabidi aliseme bila upendeleo au kuwadharau wengine lasivyo chuki itajengwa kwa mzazi.
Maneno WANGU(umiliki)na MARUFUKU(onyo)yanaonesha nguvu.neno SIWEZI linaonesha msimamo.WAZAZI linaonesha kebehi.
Haya maneno ndiyo yamefanya watu waweke question marks.yani kuna political incorrectness.

Je,is it even morally correct kumsomesha aliyetoa mimba na kukataa katakata kumsomesha 'mzazi'?
Au kuvumilia kusomesha wanafunzi walevi,wanaowapa wenzao mimba,n.k..ila sio wenye watoto??
Mimi sioni tofauti.
Kama 'baba' wa nchi Ni vyema kuendelea kudiscourage mimba kwa wanafunzi wakike pamoja na tabia zingine zote zinazokwamisha masomo lakini kunyima elimu sio solution.at all.
Mtoto wa form two anapopata mimba leo na kuitoa ili aendelee kusoma,hilo jambo lina impact kubwa(morally and psychologically) isiyoonekana Saiv.
 
Ukiangalia hapo kwa hizo kauli kupishana kauli yenye uzito ni ya Rais mwenyewe hivyo kama kuna kauli ziliwahi kutolewa au matamko yaliwahi kutolewa kuhusu watoto wanaopata mimba wakiwa shuleni kurudi kusoma kauli hizo zote zimefutwa kwa kauli ya jana ya Rais Magifuri.
Huoni huko ni kushushuana mbele ya hadhara kwani hawana mipango ya pamoja au kila mtu na mipango yake.
 
Unaomba ushauri wa nini!!! hujioni kwamba umekurupuka!?

Hayo maneno ya Mama Samia kama ni hayo hayo hakuna lililotofautiana.

Kwani si kasema wanawaadhibu sasa kutokurudi shule ya bure si ndio kayasema JPM.

Wana uhuru wa kwenda shule zingine kusoma zisizo zile za bure wakisha jifungua.
Kama wewe huoni tofauti ya kauli hizi ni wewe sisi wengine tunaona kuna namna.
 
Sometimes viongozi wetu wanakosa busara tu ya kibinadamu ambayo haihitaji uende shule kuitafuta..!!! Raisi na makamu wake wanatofautiana nn maana yake hapo
 
SERIKALI.....

SERIKALI I
"Serikali imeweka dira itakayowawezesha wasichana kuendelea na masomo baada ya kujifungua huku wale waliowapa mimba, wakishughulikiwa kikamilifu." Paulina Mkonongo, Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari, Wizara ya Elimu - 01 Disemba 2015.
_______________________________

SERIKALI II
"Serikali imeamua kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa shuleni wasifukuzwe, bali waendelee na masomo." Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, akiwa Chuo kikuu kishiriki cha UDSM cha Elimu (DUCE), 27 Aprili 2017.
________________________________

SERIKALI III
"Serikali inaelekeza Wasichana wanaojifungua warudi na kuendelea na masomo shuleni." Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (06 June 2017- Gazeti la The Citzen).
________________________________

SERIKALI IV
"Katika kipindi changu cha utawala, mwanafunzi yeyote wa kike (shule ya msingi na sekondari) akipata mimba ni marufuku kurudi shuleni. Siwezi fanya kazi ya kusomesha wazazi." Rais John Pombe Magufuli, 22 Juni 2017, Bagamoyo - Pwani.
________________________________

By Deadbody,
Nimeshatumikia ban yangu
Nilikuwa natamani mzee wa chato awe na binti sekondari halafu abandikwe mimba ili aone raha ya maneno yake.
 
Top mgt akishasema basi zile kauli zilizopita unafuta. Kauli ya mkubwa ndio ya mwisho...ukiona msaidizi wake ametamka na mkuu yupo kimya basi ujue ni sahihi kile kilichosemwa. Lakini ukiona msaidizi amesema alafu anakuja mkubwa anasema tofauti....basi mfuate mkubwa....maana ukimfuata msaidizi na ukaharibikiwa mambo basi wewe utastahili kupata adhabu ambayo imetamkwa na mkubwa...full stop!!!. Kwasasa tuchukue tahadhali tu!, hayo mengine tukae na wanetu tuwalinde na kuwafunda kila mara
shida kubwa iliopo tunapokosa kauli moja toka serikali moja,hatupingi kutofautiana mawazo lakini issue inapokuja public obviously kama team na kiongozi wao mnakuwa mejadili nini chakusema ukubwa usiwe chanzo cha kuonekana wewe ndio kila kitu kimawazo,kimaono,kiutendaji lazima ifike wakati tuheshimiane kauli nyingine zinaleta mgongano katika jamii,hata ule mjadala raisialiouanzisha inaonyesha alikuwa anaongea kwa jazba tu kulikuwa hakuna busara hata chembe kwenye kauli zake sijawahi kuona kiongozi mkuu wa nchi anaongea kama checkbob
 
Back
Top Bottom