Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

Anaenda kumshtaki kwa baba na mama (USA x UN).

Sasa tunacho subiri kama baba na mama watatumia vyeo vyao kama wazazi kutoa adhabu kali, ili iwe fundisho kwa watoto wengine watukutu (Uganda n.k). Au wazazi watafunika kombe mwana-wa-haramu apite (Japokua baba ameshaonesha dalili za jazba toka awali).

Na leo wakati akisafiri alisindikizwa mpaka stendi na washenga (mabalozi) watatu, mmoja wa USA (Baba), wingine wa German (Ma-mdogo), na wa mwisho alikua wa Belgium (Mlezi)... Hii imekaaje kwa nyinyi wataalamu wa siasa???
Hivi weww unqjua kuwa Trump kang'ang'qnia madaraka akidai kuibiwa kura kwenye uchaguzi huko USA.
wamarekani wana shida zao kibao.
Utasubiri sana.
 
Kama wakikuelewa sijui tu. Huyu jamaa kawadanganya sana wenzake na matokeo chama sasa kinakosa ruzuku wakati yeye ataendelea kutafuna Kuku na kunyonya mvinyo huko alikorudi na ambako ana visa ya ukaazi
Wajinga ndiyo Waliwao!
 
..Mabalozi waidhalilisha serikali, vyombo vya dola, na mahakama za Tanzania.

..haiwezekani wamuondoshe nchini mtu anayetakiwa kuwa mahakamani kujibu mashtaka.

..Nini maana ya kuwa nchi huru, kama mabalozi wa nchi za kigeni wanaweza kufanya wanavyotaka?
Wizara ya mambo ya nje imepwaya kitendo cha balozi wa Marekani kutaka kufanya mazungumzo na wagombea urais ingekuwa serikali ya Mkapa, Kikwete, Mwinyi hapo Nyerere nimemwacha makusudi yule balozi asingekuwepo lakini hii serikali inayojitapa ni kama kunguru ukishika jiwe anakimbia
 
Ni kama Mbowe tu ,unaangushwa na konyagi alafu unasingizia wasiojulikana, Lema na Nyalandu wamekimbizwa na madeni alafu wanasingizia wanataka kutekwa na Serikali.!
 
Zile bomba za makachero wa USA sio za mchezo,polisi waliokuwa wanamsubiri Lissu ilibidi waishie kuchungulia kwa mbali😁😁😁!
Namtakia kheri Lissu huko aliko,aachane na hizi maiti za Tanzania mpaka zitakapofufuka!
Iko siku isiyokuwa na jina waTZ watajitambua na kupigania haki yao kwa nguvu zao zote.
Nguvu iliyoko kusikojulikana ni kubwa sana na hiyo ndiyo tatizo kubwa.
Giza likiongezeka ni dalili za karibia mwanga wa kukucha
 
Sikuwahi kusikia maiti aliyefufuka.
Lisu asirudi tena huku Tanzania sababu kuna maiti. Akaishi huko milele. Kama hao wajerumani na wabelgiji wanampenda saaana wampe ubunge au uraisi awaongoze wananchi wao wa ujerumani au ubelgiji.
 
Sisi watanzania tunampenda sana Lissu!Ndio maana tulishauri aondoke haraka sana nchini,aachane na hawa mafedhuli!
 
..Mabalozi waidhalilisha serikali, vyombo vya dola, na mahakama za Tanzania.

..haiwezekani wamuondoshe nchini mtu anayetakiwa kuwa mahakamani kujibu mashtaka.
president
..Nini maana ya kuwa nchi huru, kama mabalozi wa nchi za kigeni wanaweza kufanya wanavyotaka?
Labda nikueleweshe, mtu akikimbilia ubalozi wa nchi ya ujerumani, police hawaruhusiwi kumkamata akiwa amepokelewa na ubalozi huo, sababu tayari yupo kwenye nchi nyingine. Police walifuata taratibu za nchi. Kwa hiyo usifikirie polisi wa Tanzania waliwaogopa mabalozi wa ujerumani hapana, walifuata taratibu za kisheria.
 
Iko siku isiyokuwa na jina waTZ watajitambua na kupigania haki yao kwa nguvu zao zote.
Nguvu iliyoko kusikojulikana ni kubwa sana na hiyo ndiyo tatizo kubwa.
Giza likiongezeka ni dalili za karibia mwanga wa kukucha
Watanzania wengi wanajitambua, ndio maana hawakufanya maandamano yasiyo na kikomo.
 
Hizi sanaa za kutafuta hifadhi ni za kitoto sana ni kutokuwa wazalendo kwa nchi yao...kwani wamefanya nini hata wajitishe wenyewe namna hiyo, ila wakae wakijua wanajiwekea historia mbaya na vizazi vitawakumbuka kama viongozi wabinafsi na mamluki.
 
Na asirudi basi. Akaishi huko milele.
Utawala huu utapita,hapo atarejea!Akaendeleze mapambano akiwa huko huko,hapa Tanzania tuliwasaidia nchi nyingine na baadhi ya wanamapinduzi waliweka hapa kambi wakijipanga kwenda kuwaondosha wakoloni so jambo hilo sio geni!
 
Ushahidi gani unataka wewe? Ushaona wapi MHAINI anatoboa mchana kweupe eapoti na kuishia zake MAJUU?

Mtoa mada ni mchokonozi mbobevu.
Balozi wa Usa alitweet kuwa anaenda kutibiwa, Amsterdam kasema anaenda kuwatafutia soko mashoga kama wewe na mtoa mada ili mnufaike na biashara ya ushoga maana hapa Tanzania ni biashara haramu.
 
Labda nikueleweshe, mtu akikimbilia ubalozi wa nchi ya ujerumani, police hawaruhusiwi kumkamata akiwa amepokelewa na ubalozi huo, sababu tayari yupo kwenye nchi nyingine. Police walifuata taratibu za nchi. Kwa hiyo usifikirie polisi wa Tanzania waliwaogopa mabalozi wa ujerumani hapana, walifuata taratibu za kisheria.

..je, akiwa uwanja wa ndege wa dsm bado anakuwa yuko eneo la ubalozi?

..na Lissu si alikamatwa nje ya ubalozi wa ujerumani na kupelekwa kituo cha polisi?

..tukubali kwamba serikali imeufyata mkia. tunapaswa kuuliza kwanini.
 
Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita....

"Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake Makali 38 nilipomuomba Dereva wangu anishushe nikojoe mara moja Porini japo Yeye Meno ya Mbwa Mkali hata Moja halijampata huku nikipumzika Siasa"

Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE leo tu alipokuwa akipanda zake Treni kuelekea Mkoani Mara ( Musoma ) kupitia Mwanza....

"Naondoka hivi na hii Treni kama mnavyoona ila pamoja na kwamba naenda Kutibiwa ila huko huko Kijijini Butiama hata kama nikiwa Wodini naoshwa Majeraha na Meno ya Mbwa Mkali wa Ziwani kwani kuna mengie kama Mawili hivi yamebaki na yamekaa pabaya nitaendeleza Mapambano dhidi ya Magufuli nikiwa huko huko mpaka atoke Madarakani japo nilipokuwa hapa Dar es Salaam nilishindwa Kumtoa"

RAI yangu tu kwa 'Wanasiasa' Wenzangu wengine wa Tanzania (hasa mliogombea Urais kama GENTAMYCINE ) Msiwe 'Ndumilakuwili' Kimaelezo.
Hata wewe ni mwanasiasa
Nchi hiii, kila kapi lipo
 
..je, akiwa uwanja wa ndege wa dsm bado anakuwa yuko eneo la ubalozi?

..na Lissu si alikamatwa nje ya ubalozi wa ujerumani na kupelekwa kituo cha polisi?

..tukubali kwamba serikali imeufyata mkia. tunapaswa kuuliza kwanini.
Nahisi ww ni sikio la kufa.
Yale magari yaliyompekeka Lisu airport yalikua ni ya ubalozi wa ujerumani .Katizame video inayoonyesha Lisu alivyoenda airport alikua na nani.
 
Nahisi ww ni sikio la kufa.
Yale magari yaliyompekeka Lisu airport yalikua ni ya ubalozi wa ujerumani .Katizame video inayoonyesha Lisu alivyoenda airport alikua na nani.

..gari ya ubalozi inaweza kukamatwa kama imejihusisha na masuala ya jinai.

..mizigo ya kidiplomasia, diplomatic bags, inaweza kupekuliwa ili vyombo vya dola vijiridhishe kwamba iko sawa.

..rejea tukio la Umaru Dikko kukutwa ktk kasha la kidiplomasia la ubalozi wa Nigeria nchini Uingereza.

..Mabalozi wameingilia uhuru wetu, na kuidhalilisha serikali yetu, pamoja na vyombo vya dola.

cc Nguruvi3
 
Back
Top Bottom