Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

Zile bomba za makachero wa USA sio za mchezo,polisi waliokuwa wanamsubiri Lissu ilibidi waishie kuchungulia kwa mbali!
Namtakia kheri Lissu huko aliko,aachane na hizi maiti za Tanzania mpaka zitakapofufuka!
Nimecheka sana ,polisiccm wakaona hali si shwari
 
Labda nikueleweshe, mtu akikimbilia ubalozi wa nchi ya ujerumani, police hawaruhusiwi kumkamata akiwa amepokelewa na ubalozi huo, sababu tayari yupo kwenye nchi nyingine. Police walifuata taratibu za nchi. Kwa hiyo usifikirie polisi wa Tanzania waliwaogopa mabalozi wa ujerumani hapana, walifuata taratibu za kisheria.
Kumbe siku izi wameanza kufata taratibu na sheria

Si nchi ya baba yao hii wangepiga mabomu tuuu pale alaaaa
 
Alikuwa hana passport? Alikuja vipi toka Ubeligiji?

Kwani kesi za jinai zina mwisho? Ipo siku wakimuhitaji watamuita tu. Habari za kujidhalilisha ni hoja za kitoto.
Hujajibu hoja swali ni kwa nini serikali imeruhusu lisu aondoke wakati ni mtuhumiwa wa miaka you,kirahisi rahisi tu eti? Kwa hiyo watawashitaki wadhami I was lisu? Kwamba ametoroka?
 
Hujajibu hoja swali ni kwa nini serikali imeruhusu lisu aondoke wakati ni mtuhumiwa wa miaka you,kirahisi rahisi tu eti? Kwa hiyo watawashitaki wadhami I was lisu? Kwamba ametoroka?
Anaenda kutibiwa mwili una maumivu makali na uchovu wa kampeni,serikali ya Ccm inawapenda raia wake acha akatibiwe akimaliza kutibiwa mengine yatafuata.
 
..gari ya ubalozi inaweza kukamatwa kama imejihusisha na masuala ya jinai.
Nchi husika inatakiwa ijiridhishe kuwa jinai ipo na kuna ushahidi ili kuepeuka Diplomatic row.
Ni tatizo kukamata gari la ubalozi kwa 'ramli' za Mambosasa
..mizigo ya kidiplomasia, diplomatic bags, inaweza kupekuliwa ili vyombo vya dola vijiridhishe kwamba iko sawa.

..rejea tukio la Umaru Dikko kukutwa ktk kasha la kidiplomasia la ubalozi wa Nigeria nchini Uingereza.
Uingereza ilikuwa na ushahidi wa kutosha kabisa. Hata pale Nigeria walipotishia kuhusu Diplomasia, uingereza walikomaa. Kosa lilikuwa la kiufundi hasa muda wa ndege kukaa airport, sababu za kutuma ndege na ukubwa wa mzigo wa kidiplomasia.
..Mabalozi wameingilia uhuru wetu, na kuidhalilisha serikali yetu, pamoja na vyombo vya dola.
Mabalozi walimsindikiza Lissu. Vyombo vyetu havikuwa na 'guts' za kuhoji.
Hata hivyo kumkamata TL ubalozini ilikuwa fyongo ndio maana walikosa nguvu za hata kusimamisha gari.

 
Back
Top Bottom