Saga mahindi uuze unga bei yake ni nzuri
Uliua naye? Mnajaza ujinga humu.Mwenye Mungu hawi Muuaji wewe! Acha kukurupuka.
MAGUFULI ana MUNGU
huyu ndio rahic cyo huyo luwasa na chagadema yake
Kweli wanatuchonganisha sana wanataka kumuua lissu halafu wanatusingizia sisi ili tukianza kugombana wao waibe. Watu wabaya
I second you!Magufuli, just stop the charade already.
You can fool the unsophisticated villagers and uneducated urban lumpen ploretariat, but under the microscope you are nothing but a pretender.
Ha ha ha ha ha wale wale Pua maana yake nini mkuu?Pua hawakukosea kusema umaarufu wenu na kukubalika kunapungua.
Itakuwa wanapungua na kuungana na watu gani? Figure it out.
He hee, pua = pia. Nilikosea bhana. Ila Ujumbe deliveredHa ha ha ha ha wale wale Pua maana yake nini mkuu?
Kivp Katiba inavunjwa hebu fafanua.hakuna anaekataa sio rais
isipokuwa tu tatizo ni Mungu mtu
sio kwa kuvujna katiba hadi kutuona anaotuongoza ni wajinga
leo kaongea kwa unyonge sijui nini kimeanza kumsibu
MKUU WAAMBIE MODS WAREKEBISHE...MANYARA MKOANI ARUSHA..Katika hii vita ya uchumi, watatugombanisha, na sisi tukikubali kugombana wataendelea kutuibia. Ni vyema tushikamane sana.
Ukiona kazi huwezi, acha uondoke, kuna watanzania wengi sana wanaotamani kufanya hiyo kazi.
Mtu analalamika maisha magumu, lakini mshahara wake haujapunguzwa ni ule ule. Basi hapo unajua kulikuwa na namna ya ziada.
Wengine wakisimama na kusema pesa zimepotea, sitawashangaa kwa sababu walizoea kuiba pesa zisizo zao, na kweli zimepotea.
Najua hamna hata ambulance, hiyo nitawaletea mimi. Nitakwenda kuwa katakata huko, nitapata ambulance itakuja.
Hii barabara watapita watu wote wa vyama vyote. Hata majizi wa Tanzanite, watapita barabara hii.
Najua kuna wawekezaji wameanza kuondoka, na wengine wameshaondoka kwa sababu walichokuwa wanakifanya hakikuwa sahihi.
Tanzania tunataka wawekezaji, lakini kama anadhani anakuja kutuibia, kwa sasa hawezi. Tumeweka mikakati kudhibiti mali zetu
Soko la madini ya Tanzanite liwe hapa hapa Simanjiro lisiwe Arusha. Wanunuaji waje hapa, wakae hapa, wale hapa hapa.
Kwa sababu Mungu hakukosea kuweka Tanzanite Tanzania, basi ni lazima tuitumie kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wetu.
Hapa patafungwa kamera za ulinzi, kutakuwa na mlango mmoja tu, na hata mtu akimeza Tanzanite itaonekana. Tumechoka kuibiwa.
naagiza JWTZ kupitia Suma JKT kujenga ukuta eneo la Block A-D ambalo ndilo lenye madini mengi ya Tanzanite, na kufunga kamera
Labda charge imepungua??!!leo kaongea kwa unyonge sijui nini kimeanza kumsibu
Mhe. Najua una kazi ngumu lakin ugumu wa kazi sio kigezo cha kutotumia akili...
Unasema wanalalamika wakati mshahara ni ule ule je umesahau umeongeza makato hasa ya loan board kutoka 8% mpaka 15% na mshahara hujaongeza??
Je unajua huo ukuta utajenga lakin kama wanaweza kuchimba chini na kuifwata dhahabu watashindwa kutengeneza underground tunnel ya kupitisha hizo dhahabu??
Tumia akili bana...