Kauli za Prof Ndalichako zinawakatisha tamaa wanafunzi ualimu waliopo vyuoni!

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.

Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.

My take

Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
 
mi nashangaa bado kuna ongezeko la wanafunzi wa arts pia walimu wachache but ajira ni shida.

[HASHTAG]#mailaika[/HASHTAG] on the way to destroy our.....
 
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.

Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.

My take

Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
Hii nchi sasa hivi si ya kutegemea ajira ya kuajiriwa na serikali.
ni kusoma tu ili kufuta ujinga,tuanze kuwajenga vijana wetu kufikiria kujiari tu.
 
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.

Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.

My take

Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
Mnapenda kudekezwa, Kwani Waalimu ndio mna umuhimu sana hii nchi?
 
Mlikimbilia Kozi za Mikopo leo mnasema ajira ajira...jifunzeni kwa wenzenu mlio kuwa mnawacheka wanasoma Kozi zisizo na vipaumbele kwa serikali
 
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.

Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.

My take

Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine

Anayefikiria kuacha ni mpuuzi, mambo yanaenda kwa zamu, upeo mdogo kufikiri hivyo
 
Jamani. Nchi haiendeshwi na wansayansi tuu. Kwa namna yoyote kuna tatizo kubwa kwenye uendeshaji wa wizara ya elimu. Mikopo, 18 bn/= kwa mwezi, udahili n.k.
Tutawezaje kuwa na elimu bure bila walimu.
 
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.

Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.

My take

Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
Shida sio kauli. Tatizo ni ufafanuzi wa kauli anazozitoa waziri huyu huwa haujitoshelezi. Alipaswa aeleze pia hao wa arts hatima yao nini.
 
Wasome tu,mbona watu wanaosomea kozi za Biashara na nyinginezo nyingi hawana uhakika wa kupata ajira lakini bado wanakazana kusoma?

Tatizo ndo hilo,mlienda kusoma ili muajiriwe moja kwa moja na si ili kuingia mtaani kujitafutia ajira wenyewe.
 
Back
Top Bottom