Uko kuandika ulikoandika ulifundishwa na mwalimu!Mnapenda kudekezwa, Kwani Waalimu ndio mna umuhimu sana hii nchi?
Acha uboya kwan bila mwlm utafaulu miwatu mingne bwana nuksiMnapenda kudekezwa, Kwani Waalimu ndio mna umuhimu sana hii nchi?
We ungefka hapo ulipo pas ya mwlimu,ebu tambua umuhimu wa elimu,usiongee kama unahaarisha brooMnapenda kudekezwa, Kwani Waalimu ndio mna umuhimu sana hii nchi?
Tusome tu ndugu zangu watatuelewa tuWakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.
Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.
My take
Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.
Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.
My take
Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine[/QU
DAWA YOYOTE NI DAWA TU HAIJALISHI CHUNGU AU TAMU KWA KUWA UBORA WA DAWA SIO LADHA! KAMA HAO WANAFUNZI WALIKUWA WANASOMA KWA AJILI YA KUAJIRIWA NA SERIKALI WABADILI MTAZAMO! SIKU ZOTE SERIKALI SIO MWAJIRI MKUU WA GRADUATE! CHANGE YOUR MINDSET!
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.
Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.
My take
Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine
hongera mkuu mimi sina cha kuongezea hapo NAKUOMBEA BARAKA NA MAFANIKIO.Mkuu mwenyewe nimehitimu shahada ya elimu Geography na history Sina hamu kabisa aisee nimetafuta mno tempo cjapata na sasa hivi serikali imekata ajira Kwa Walimu wa arts sijui itakuwaje.. Hapa nmeanza kuuza viatu vya kimasai nataka Nitafute million mbili tuu ninunue boda boda niingie barabarani huenda riziki yangu Ndo Mungu kanipangia huko ila nlikuwa naipenda Sana kazi yangu ya ualimu maana baba yangu ni mwalimu mstaafu nlikuwa Nafurahi Sana kumsaidia kazi zake Za ualimu nikatokea kuipenda Sana hii taaluma.
Wito wangu Kwa wahitimu wa ualimu Kwa upande wa arts ni Kwamba tusiwe watumwa wa vyeti vyetu vya elimu tukubali kujishusha tusake Maisha mtaani ingawa inauma Sana lakini hakuna namna mm natembeza viatu mtaani Kama machinga japo watu wanaonijua wananishangaa ila nachukulia poa ipo cku watanizoea tuu.. Cha msingi ni kumuomba Mungu tuu ipo cku na ww utapata neema zake hadi utashangaa.. Mungu husaidia wanaojisaidia.
Asante Sana Mkuu ukikaa Maisha ambayo hujaajiriwa Ndo Akili itafanya kazi zaid kuzisaka pesa.hongera mkuu mimi sina cha kuongezea hapo NAKUOMBEA BARAKA NA MAFANIKIO.
Una kiwango gani cha elimuMnapenda kudekezwa, Kwani Waalimu ndio mna umuhimu sana hii nchi?
Una kiwango gani cha elimu