mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,454
Wakuu ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa prof ndalichako kuhusu ajira mpya za waalimu wa masomo ya sayansi tu, Imeshawakatisha tamaa na inaendelea kuwakatisha tamaa walimu wanaosubiria ajira na wale ambao bado wapo vyuoni.
Kuna wanafunzi wa ualimu wa masomo ya arts waliopo vyuoni sasa wanafikiria kuachana na masomo kwani tayari tamko la waziri ndalichako limeshawavuruga.
My take
Ni muhim matamko yatolewe kwa hekima au ni heri mtu kama umeshajua ukweli ukae kimya tu kuliko kutoa matamko then ikawa ni kero kwa wengine