Kauli za Mwigulu Nchemba zinachochea chuki dhidi ya Serikali

kuna watu kwa sasa ni bora ukaangalia tomy na jerry kuliko vituko vinavoendelea ww watu wanapandisha mafuta kesho wanasitisha wanaunda tume ichunguze unajiuliza hivi km taifa tuaenda wapi yaan unabaki kucheka tu
 
Bora usikilize sauti nzuri ya mbwa anayebweka mtaani kuliko kumsikiliza Mwigulu, anatia kinyaa na Rubish words.Huyu kinachomsumbua ni ndoto ya Uraisi....,MAMA CHUKUA HATUA MAPEMA.
Jamaa hafai kupewa kipaza sauti mahali popote palipo staarabika
 
Kwa nini wananchi waruhusu haki zao zilawitiwe?
Ulitaka wafanyeje Sasa,

Au waingie mtaani kama Yule kaka yetu wa salenda
JamiiForums174267008.jpg
 
Back
Top Bottom