iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Hii mara ya pili namsikia Mkuu wa kaya akigusia mkakati wa wabunge wa ccm kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu
Kuna nini ambacho bwana Majaliwa kakifanya mpaka wabunge wa ccm wakamchoka?
Naona kuna watu wanaji defend mapema na kutoa maonyo ili kura hiyo isipigwe.
Mwenye habari hii atujuze
Kuna nini ambacho bwana Majaliwa kakifanya mpaka wabunge wa ccm wakamchoka?
Naona kuna watu wanaji defend mapema na kutoa maonyo ili kura hiyo isipigwe.
Mwenye habari hii atujuze