Uchaguzi 2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,153
103,585
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.

Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?

Tujadili kwa kina sana
 
Watu wanaotekwa siyo kumwaga damu?
 
Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
 
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.

Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?

Tujadili kwa kina sana
Maana ya kauli hiyo ipo wazi kabisa: hata akidhurumu ushindi wa Tundu Lissu haitakiwi watu wakatae dhuruma hiyo.
Watu wakubali ili kudumisha hiyo "amani' wanayoiimba wao.
 
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.

Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?

Tujadili kwa kina sana
Huyu mzee akumbuke kauli yake kuwa "Mambosasa usiwafanye watanzania kuwa wajinga,wanayaona yanayofanyika"
 
Kwani hao waliotekwa ,risasi akina Lisu siyo damu?
Tuwaulize labda Chadema wanaomficha dereva wa Lissu ili asitoe ushahidi wa tukio zima.gari kipigwa rasisi zaidi ya 16 lakini dereva haijampata hata moja.
 
Labda anajibu maana damu ina nena.

Ndio maana Mungu alimwambia Kaini "Damu ya ndugu yako Abel inanililia"
 
Back
Top Bottom