Kauli za Marais wa Tanzania kwa raia wake na Ulimwengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za Marais wa Tanzania kwa raia wake na Ulimwengu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Black Jesus, Feb 24, 2011.

 1. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Marais wa Tanzania wamekuwa na kawaida ya kuhubiri mapinduzi kulindwa kwa hali yoyote ile ,kauli kama hiyo ndiyo aliyonayo Gadaffi kwa raia wake na ulimwengu kwa ujumla kama ilivyo Tanzania ,sasa inakuwaje leo hii serekali ya Tanzania imekuwa bubu kutomunga mkono M Gadaffi kwa kulinda mapinduzi ya nchi hiyo kama ilivyo hapa Tanzania?
   
Loading...